DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mawaziri wanaotakiwa kuondoka ni Bashe,Mwigulu,mAKAMBA na Nape.Mama atazame kinachotokea Kenya.Au na huko kajieguza chura.
Hakuna utofauti wowote... Wawepo au waondolewe!
Wananchi should mobilize to take back their powers!
Haiwezekani kila wiki ni tenguzi na teuzi...
 
Lakini swala hili ukilinagnaliwa kwa jicho la tatu; wabongo walitakiwa wasikitike, hawakutakiwa kushangilia!
unajua hakuna kitu kiliwaudhi kama kauli ya kuhalalisha wizi wa kura kwenye uchaguzi alipokuwa Bukoba,taswira ya 2019/2020 bado iko kwenye kumbukumbu za watu. it was too bad unaenda kupiga kura halafu unapewa kitu kingine nchi nzima zero
 
Mpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Huyu ndio Samia Suluhu Hassan! Hukumjua! hujachelewa! Anza kumfahamu Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mfuatilie kwa karibu mpaka 2025, na 2026 tushangilie kwa pamoja kwa safari yake ya miaka 5 mingine.
 
Huyu ndio Samia Suluhu Hassan! Hukumjua! hujachelewa! Anza kumfahamu Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mfuatilie kwa karibu mpaka 2025, na 2026 tushangilie kwa pamoja kwa safari yake ya miaka 5 mingine.

Amechelewa tena sana. Mbona boti lilianza kuyumba mapema na alipotezea. Huu uchumi wa soko la dola kwenye black market, nani anayeufadhili? Unaweza kuleta dhahama kubwa sana
 
Back
Top Bottom