DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hata akitoka mwigulu bado hakuna chochote cha maana kitafanyika, tatizo la nchi hii sio mtu mmoja mmoja ni li mfumo lizima kuanzia juu hadi chini, ndipo kuna jini mnyonya damu, hata umlete MALAIKA, hatoboi!!
Uko sahihi ndugu.
Sasa kama kila siku watu wanaingia na kutoka watapanga nini cha maana ambacho kitakuwa na long term plan
 
Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa

Britanicca.

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Britanicca, salute.
Hoja:
Wateuliwa wengi kwenye nafasi ya Katibu Tawala, Mkuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri, wanasomeka kwamba kabla ya Uteuzi walikuwa Ofisi ya Rais, Ikulu.
Swali:
Rais ameamua kusafisha Ofisi yake?
Nani anachukua nafasi za hawa wateuliwa waliokuwa Ikulu?
Au Wafanyakazi walikuwa wengi sana, sasa wanapunguzwa?
 
Britanicca, salute.
Hoja:
Wateuliwa wengi kwenye nafasi ya Katibu Tawala, Mkuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri, wanasomeka kwamba kabla ya Uteuzi walikuwa Ofisi ya Rais, Ikulu.
Swali:
Rais ameamua kusafisha Ofisi yake?
Nani anachukua nafasi za hawa wateuliwa waliokuwa Ikulu?
Au Wafanyakazi walikuwa wengi sana, sasa wanapunguzwa?
Umesahau kuna mkuu alibadilisha mpaka wapishi? Huo ni mzunguko tu wa kikazi.
 
Mfumo unatengenezwa na watu,na Mtu au watu wanaweza amua kuondoa mfumo uliopo na kuweka mizani sawa.Kwa bahati mbaya kwa Tanzania kidogo Magufuli alijaribu.
Hata yeye alishindwa kwani aliamini zaidi kwenye one man show!! Yeye ndio aogopwe, na akafanikiwa kuogopwa, lakini mambo yalikuwa hayaendi, na ndio maana alikuwa akifanya ziara, anacha amesafisha karibu kero zote, na kutumbua wahusika lakini akiondoka tu, yale aliyoyaagiza hakuna kitu kinaendelea akirudi tena kero ni zile zile tena!! Hadi alisema hivi ina maaana sieleweki?!!
 
Back
Top Bottom