DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hata akitoka mwigulu bado hakuna chochote cha maana kitafanyika, tatizo la nchi hii sio mtu mmoja mmoja ni li mfumo lizima kuanzia juu hadi chini, ndipo kuna jini mnyonya damu, hata umlete MALAIKA, hatoboi!!
Pamoja na kwamba waliotolewa hawajaonewa, mimi nilitarajia wanacnhi wasikitike kwa viongozi hawa kuondolewa. Naamini Mkuu wa Nchi mwenyewe amelazimika tu kuwaondoa ila katika hali ya kawaida asingpeneda kuwaondoa kabisa; halafu kinyume chake ni kwamba sisi wananchi tunashangilia badala ya kusikittika

Tunaweza kuwa tunashangilia possibly kwa sababu at some point somewhere, labda pengine tuliwahi kuwaonea wivu kwa kuteuliwa kwao, vinginevyo hapakuwa na sababu ya kushangilia kwenye jambo hili

Kutumbuliwa viongozi siyo situation ambayo ni healthy sana kwa wananchi na mamlaka za utenguzi huwa zinalazimika tu kufanya hivyo

Kwa hiyo uko sahihi kwamba mfumo wetu una shida na kwa kujua hilo, hatutakiwi kushangilia. Mtu huwa hashangilii pale linapokuwa limetokea tatizo nyumbani kwake au anapogundua kuwa kuna tatizo nyumbani kwake
 
Huyu sahau; anaweza kuwa ndiye anayefuata baada ya Mama. Hivi nyie huwa mnahitaji viongozi wakoje? Mnataka wawe kama malaika kutoka mbinguni?.

Huyu ni kiongozi wa watu hawezi kutenguliwa miaka yote
Mbona jiwe alimla kichwa?
 
Mkuu britanicca akili yangu dogo ya shamba inaniambia hivi huenda Mama kabla ya uteuzi na utenguzi aliongea na watoto wapendwa na kukubaliana nao labda watapewa fursa fulani mbeleni, na kama sivyo, tutarajie Account nyingi zikiwemo za Kigogo Kigogo kufanya vita ya mitandaoni na Bi Mother
Ndo vizuri wakina Kigogo tuwajue ni wakina nani ?
 
Japo pia hata huyu rais ni dhaifu sana, mtangulizi wake aliona hawa wajinga hawafai akawaondoa lakini yeye kwa kushupaza shingo aliona wameonewa yako wapi sasa.

Hata mteuaji na mtenguzi wa awamu hii hapaswi kuendelea kukalia kiti hicho maana naye ni hamna kitu.
 
Back
Top Bottom