ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
🤣🤣🤣lc300 nalo likasepa ikabidi aite boda boda haya maisha mamaeee sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijan wangu Masawe salamaaWasiomjua Britannica wanamfahamu Sasa
Malizia na lile la Mzee wa Bia kurudi shule kufundisha Jiji limekua zito kwake
Haha
Britanicca,kuwa Jf expert member, anaonewa. Ninaomba apandishwe cheo.Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
10 days later.Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
huyu yupo kwa PutinUkute britanicca ni mshauri wa rais ama ndo rais mwenyewe
Hayawi Hayawi YamekuwaMpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Nchi inavuja hii.Pascal Mayalla unamuona Huyu Ndugu yetu kila kitu anapatia na Kinatokea hii haimaanishi kwamba nchi inavuja kuna mahali imetoboka??
😂😂😂Hehehe watu mna habari za jikoni kabisa tutafutie na za yule aliesema tuhamie burundi Mama anamtoa lini,
ihefu ianze kula dagaa na ugali kambini.
ameenda kwenye tuzo kama waziri amerudi mikono nyumaNimeambiwa Nape alikuwa kwenye tuzo sijui wapi huko taarifa zimemkuta akiwa live.
Heshma yako mkuu....🙆♂️Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Mkuu britanicca akili yangu dogo ya shamba inaniambia hivi huenda Mama kabla ya uteuzi na utenguzi aliongea na watoto wapendwa na kukubaliana nao labda watapewa fursa fulani mbeleni, na kama sivyo, tutarajie Account nyingi zikiwemo za Kigogo Kigogo kufanya vita ya mitandaoni na Bi MotherSi Umeona eee
Mfumo unatengenezwa na watu,na Mtu au watu wanaweza amua kuondoa mfumo uliopo na kuweka mizani sawa.Kwa bahati mbaya kwa Tanzania kidogo Magufuli alijaribu.Hata akitoka mwigulu bado hakuna chochote cha maana kitafanyika, tatizo la nchi hii sio mtu mmoja mmoja ni li mfumo lizima kuanzia juu hadi chini, ndipo kuna jini mnyonya damu, hata umlete MALAIKA, hatoboi!!