Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Endeleeni kujidanganyaNaunga mkono hoja
Mmoja Jimboni aponi yupo ICU
Mwingine labda akaweke kambi Jimboni
Ila Moshi mweupe unatisha
2025 itawashangaza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kujidanganyaNaunga mkono hoja
🤔🤔🤔🤔🤔Mipango ya uchaguzi ccm ni ile ile watu ni wale wale.
Wewe mchawi vipi? Uliyajuaje hayo? Hebu nitabirie na mimi nijue lini nitateuliwa kuwa waziri wa fedhaKwenye mkeka rasmi Naleta nilipo andika hii
Britanicca
Aliwafukuza watoto wa masikini tanesco akaweka kampun ya dada ake mwamvutaNape Watanzania wengi hawampendi kwasababu ya tabia zake mbaya sana ni mtu anajivuna sana anadhani nchi hii ni ya kwao binafsi .una dharau sana na kibri wewe jamaa .
makamba sikio halizidi kichwa magufuli alikufukuza kazi wewe na Nape sasa leo umefukuzwa tena hamfai nyie wote kwanza hamna maadili wote wapiga dili tu.
Britanicca 🌄Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakujaa Baada ya ziara ya kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Sio unabii zile hua ni taarifa za kweliMkuu.tunaomba utupe unabii mwingine
Duuu😂Yaani huyu jamaa kaniteka mazima. Hakuna kitu nitakachobisha.
January na Nape kuteuliwa katibu na mwenezi wa ccm, mtawaliaYametimia, Januari na Nape out 💃💃
Waende huko kwenye chama wakapige porojo huko, huku serikalini ni hopeless kabisa.January na Nape kuteuliwa katibu na mwenezi wa ccm, mtawalia
Mende katoa maziwa dadadekiNa hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
Nape akawa mbishi nasikia katumbuliwa akiwa yuko mubadhara akigawa tuzoSiyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakujaa Baada ya ziara ya kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Sasa hapo ni nini kilichovuja? Pathetic.Hamna cha utabiri hapa
Zilivuja huko ndani
![]()
Election betting claims put focus on who knew what and when
Allegations around some of those who might have known the date in advance are still making headlines.www.bbc.com
What if ni wenyewe (wenye mamlaka) waliamua/walikubaliana kuvujisha kwa sababu fulanifulani? Labda hao vijana wamevurunda mambo ambayo kuyaweka hadharani itakuwa talk of the day.Hii nchi inavuja .......Kila kitu kipo wazi kabisa.
Hakuna siri tena