DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nape Watanzania wengi hawampendi kwasababu ya tabia zake mbaya sana ni mtu anajivuna sana anadhani nchi hii ni ya kwao binafsi .una dharau sana na kibri wewe jamaa .

makamba sikio halizidi kichwa magufuli alikufukuza kazi wewe na Nape sasa leo umefukuzwa tena hamfai nyie wote kwanza hamna maadili wote wapiga dili tu.
 
Wewe unaamini kabisa inavuja? Hujiulizi kwa nini wewe hupati hizo taarifa. Watu wapo kazini asee.

Hata boko la juzi nape aliamua kujifyatua tu iwe ndo sababu.
Wambie asee! Mie nishachoka kuwafafanulia ufundi wa siasa. Hao wanaelekea kwenye kazi maalum ya 2025.

Mpaka uwe umesomea Q-ba ndipo utaelewa huo mchezo.
 
Mmeshalamba sana!

IMG-20240721-WA0262.jpg
 
Back
Top Bottom