Phdum
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 1,322
- 3,278
Hii inatakiwa iwe breaking newsUpdate: Nepi ame-deactivate account yake ya X!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inatakiwa iwe breaking newsUpdate: Nepi ame-deactivate account yake ya X!
Hii inatakiwa iwe breaking news
Usifike huko mkuu, kubaya hukoNa hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
Sio tu kutoboka, itakuwa imepasuka!Pascal Mayalla unamuona Huyu Ndugu yetu kila kitu anapatia na Kinatokea hii haimaanishi kwamba nchi inavuja kuna mahali imetoboka??
PS kama PS. 😀😀😀😀 piesi piesi, kinafuata nini?Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakujaa Baada ya ziara ya kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Wewe unaamini kabisa inavuja? Hujiulizi kwa nini wewe hupati hizo taarifa. Watu wapo kazini asee.Sio tu kutoboka, itakuwa imepasuka!
Tunakuwa wajuaji mpaka tunaumbuka 😀😀Mpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Aisee Nchi hii watu wana za ndani kabisa! Tupeni kazi huko jamaniSiyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakujaa Baada ya ziara ya kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Za ndani hiziSiyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakujaa Baada ya ziara ya kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
😂😂 Sasa ufanye hivyoNa hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
Goli la mkono linaanza kuandaliwaTunakuwa wajuaji mpaka tunaumbuka 😀😀
Ngoja tuoneGoli la mkono linaanza kuandaliwa
Yaani huyu jamaa kaniteka mazima. Hakuna kitu nitakachobisha.Duuu, sasa hivi jiandae kulishwa hadi matango pori.
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakujaa Baada ya ziara ya kusini Katavi,