Hakika uliliandikia hili tarehe 11/07/2024 si mchezoSi Umeona eee
DOKEZO - Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri
Update: Nepi ame-deactivate account yake ya X! Hii inatakiwa iwe breaking news
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika uliliandikia hili tarehe 11/07/2024 si mchezoSi Umeona eee
Imetokea Sasa subiria Hilo uliloahidi !!Na hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
Yametimia mkuu.Na hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
Hii ina maana yupo kazini.Pascal Mayalla unamuona Huyu Ndugu yetu kila kitu anapatia na Kinatokea hii haimaanishi kwamba nchi inavuja kuna mahali imetoboka??
Umeaminia mkuu?Na hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
Duh.. !, nimekuvulia kofia!.Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Usishangae wakirudishwa Mkuu....!!!siku hizi Mambo ni mengi Mkuu.hamfai nyie wote kwanza hamna maadili wote wapiga dili tu.
Hivi nyie britanicca mmemjua mwezi huu eee.Wewe mchawi vipi? Uliyajuaje hayo? Hebu nitabirie na mimi nijue lini nitateuliwa kuwa waziri wa fedha
..... inawezekana na wewe ni mchawi mwenzie; hebu niambie ni lini na mimi nitakuwa waziri wa fedha !!! Zamu yangu imeshafika.Hivi nyie britanicca mmemjua mwezi huu eee.
Hata akitoka mwigulu bado hakuna chochote cha maana kitafanyika, tatizo la nchi hii sio mtu mmoja mmoja ni li mfumo lizima kuanzia juu hadi chini, ndipo kuna jini mnyonya damu, hata umlete MALAIKA, hatoboi!!Na iwe kama ulivyonena, halafu baadaye afuatie Mwigulu
Watu kama hawa kwenye jamii ni vizuri wawepo, yaani wanarusha jiwe alafu anakaa kwa kutulia, sisi tunaangaika nani karusha gafla ndiyo kama hivi!.Hii ina maana yupo kazini.
Taarifa imevujishwa makusudi kwa lengo fulani mahususi.
WANATOLEWA KWA MIKAKATI MAALUM, BAADA YA KUPIGIWA KELELE SANA, HII INAJENGA IMANI KWA UTAWALA!Mpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Una maoni gani Mkuu kwa sasa?Mpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Huyu yupo jikoniDuh.. !, nimekuvulia kofia!.
P
Hapo vipi?Na hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.