johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ππππππππππMpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππMpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Ameongea ukweli kabisa, ila hakuwa mtu sahihi kuusema huo ukweli, ni kama yaliyomkuta Jobsasa mtu kaongea ukweli katumbuliwa
au mnafikiri ni siri kwamba uchaguzi unachakachuliwa
ni mjinga tu anaweza kuamini katika uhalali wa kura nchi hii
Umetisha mzee,Mwigulu lini anatemwa.Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Na imekua hivyoSiyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Britanicca
Kashawaagiza vijana wake wakasafishe OfisiNdio maana Marope alikuwa kimyaaaaa hata hasikiki sijui Yuko wapi saizi
Umeamini???Mpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Sawa sawaMpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
Mkeka wako umechanika hukuMpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
TROJANπWambie asee! Mie nishachoka kuwafafanulia ufundi wa siasa. Hao wanaelekea kwenye kazi maalum ya 2025.
Mpaka uwe umesomea Q-ba ndipo utaelewa huo mchezo.
Jamaa nchi ilishakuwa yake hii,hata bila kupigiwa kura.Nchi ngumu
NCHI HII haitaki uwe mkweliAmeongea ukweli kabisa, ila hakuwa mtu sahihi kuusema huo ukweli, ni kama yaliyomkuta Job
Huku kwetu umakuwa umeamua kujikaanga mwenyewe, ila pia si busara kuusema ukweli wakati na mahala pasipo kuwa sahihi.NCHI HII haitaki uwe mkweli
wacha waendelee kutuona wajingaHuku kwetu umakuwa umeamua kujikaanga mwenyewe, ila pia si busara kuusema ukweli wakati na mahala pasipo kuwa sahihi.