Kyamkwikwi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 441
- 146
Hawajatujulisha kuhusu maandamano ya jana ambayo polisi waliyakimbia pamoja na kuyapiga marufuku badala yake wakawa wasindikizaji na walinzi, na RPC ikabidi awe mpole.
Huyu naye alinunuliwa na Lowassa...
🙂🙂🙂🙂...... mna vituko nyie... cjui akili zenu hufikiri kupitia kwa masaburi??!!
Huyu naye alinunuliwa na Lowassa...
🙂🙂🙂🙂...... mna vituko nyie... cjui akili zenu hufikiri kupitia kwa masaburi??!!
Hivyo ndivyo ilivyo.