Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

Ndugu yangu,Ukabila sio mzuri.Pamoja na kwamba CCM inaondoka Madarakani,Nchi yetu bado inatakiwa isiwe na Ukabila.Tuachieni nchi yenye Umoja maana mkijipanga vizuri huenda watanzania watawachagua miaka ijayo.
 
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

Lowassa sio mchagga,unamaanisha nini?
 
Kama ccm na Nape wao hawana uchu wa madaraka wakae kimya au wakachome mkaa!
 
Maajabu haya, Gazeti la chama katika miezi miwili kabla ya uchaguzi linashindwa kuandika habari hata moja ya mgombea wake ukurasa wa Mbele. Magufuli amesahaulika hata kwenye chama chake, hauziki kabisa. Lowassaphobia ni noma
 
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

Unapenda Sana wachaga! Kwani mume wako wa kiarabu akutoshi?
 
Nyie piteni kanda Hanna lolote kwanza nyie kulakulala nyumba za uridhi jitegemee ujue dunia iko wapi???
 
Nape unajidanganya,ukweli upo wazi umeiua ccm sasa unatapatapa,unajua fika mmezidiwa,kwa sasa nakufananisha na mwana propaganda wa vita ya Irak aliyekuwa anawadanganya walimwengu kuwa mambo safi huku nchi inachukuliwa,acha kumdanganya mwenyekiti wako mwambie ukweli hali ni mbaya.
 
Wamiliki wa ukawa 1:LUWASA 80%
2:CDM 11%
3:CUF 6 %
4:NCCR 2.5%
5:MAKAIDI 0.5%
CDM CUF NCVR MAKAIDI Wote hawa hawanakauli wala maamuzi wao wameshauza nafasi.
Maswala yote anayo luwasa.
 
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.
bila kujali
 
hata kwa akili ya kawaida kwa jinsi lowassa alivofanya pichu ziwabane unategemea vuvuzela angesema nini
 
Ni Kama Nape anasema," Bahati yenu Chadema! Mmeshinda kwa sababu ya Lowasa. Mngekuwa hamkumkaribisha tungewaonyesha cha mtema kuni. Lakini basi, tutakutana kwenye uchaguzi wa 2020."

Mkuu umepatia sana kuhusu nape hawawezi kukiri hadharani ila kwa mafumbo
 
Wamiliki wa ukawa 1:LUWASA 80%
2:CDM 11%
3:CUF 6 %
4:NCCR 2.5%
5:MAKAIDI 0.5%
CDM CUF NCVR MAKAIDI Wote hawa hawanakauli wala maamuzi wao wameshauza nafasi.
Maswala yote anayo luwasa.

Naona umechanganyikiwa mkuu
 
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

Chanzo chako cha hii habari hata wenye CCM hawakiamini nakushangaa wewe!
 
mkuu ni kweli kabisa nape jana alikuwa kama punje ya mavi ya mbuzi ameshajuwa nini kinakwenda kuikumba ccm yeye mwenyewe ubunge atausikia tu na kuangalia kwenye tv!!

hata kama tunachotaka muondoke pale magogoni si kwenu tena kuanzia tarehe 25/10
 
Back
Top Bottom