Waache uwongo....hiyo picha ya juu kabisa ya Nape akiwa ameshikana na bi harusi wake.....inaonyesha Nape wa zamani...., mwembamba, hana maneno, mpole kabisa...na kafubaa, ni picha ya zamani kabisa ya Nape.
Hii ya chini...ni picha ya Nape huyo huyo...ila kipindi hiki akiwa amealikwa na mke wake (aliyefunga ndoa naye katk picha ya kwanza)....! Kumbe basi, hata ukimwangalia mkewe.....kwnye picha wakitoka kanisani, na huyu aliyekaa naye, ni mtu yule yule ila nyakati tofauti!
Kwahiyo...., kwa picha hizi....Nape alifunga harusi yake zamani, na picha ya pili Nape ni mwalikwa akiwa na mkewe yule yule!
Sasa sijui uliyetupia hizi mambo unataka kukusudia nini!?