Nape Moses Nnauye afunga ndoa

Nape Moses Nnauye afunga ndoa

acha uongo mkuu

huyu jamaa alimwoa mtoto wa Bridgedia Hemed huko changanyikeni

Kipindi wakati jamaa hana kitu, ile familia ilimnyanyasa sana huyu bwana, mke wake anaitwa Tumaini

maisha yao ya ndoa yalitawaliwa na misukosuko mingi na hasa mwanamke akiwa sio mwaminifu

ninavyozungumza huyu Tumaini kazaa na mwarabu, na jamii ukweli aliumia sana

ulichozungumza hapo juu ni hisia

mimi ninayeandika ni sehemu ya familia ya mwanamke dada yatu ambaye hajatulia

Nasikia Tumaini amefariki..........
 
alimuoa dada mmoja anaitwa tumaini hemedi, alikuwa anaishi changanyikeni UDSM! tumaini alikuwa na mtoto wa nje kabla hajaolewa na nape, nape na tumaini waliunganishwa na dada mmoja, mtoto wa late prof masuha anaitwa lilian, alikuwa anasoma chuo cha diplomasia na nape kurasini.

so one day tumaini alikwenda kumvisit lilian, ndio nape kumuona tumaini, akampenda na kuja kumuoa. kipindi hicho hana pesa, alikuwa anakaa changanyikeni kwa in-laws! i heard walipart ila sikujua kiundani! but tumaini was sooooo beautiful!, beautiful in-deed!
Tumaini Hemedi amefariki dunia Jana.Mungu amlaze mahali pema peponi Amina.She was so beautiful indeed
 
Nape siku hizi kawa kimya sana.
Tumaini nini kimemuua? RIP
 
Rest in Peace Tumaini.
Poleni Mzee S. Hemedi,Babu na wadogo zako. Tuaondoka wengi hapa...
 
Back
Top Bottom