Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Sasa hivi anajua hawezi kumfukuza. Labda wamtumie wasiojulikana, ila 2020 hilo jimbo......mang'aa tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumechoka na zilipendwa hizo! Nyimbo zilizochuja unatuwekea hapa? Nenda nawe ukaliwe upewe viti maalumu!Dikteta ni yule ambae amebadili katiba ya Chadema na kufanya nafasi ya mwenyekiti wa chama haina ukomo wa uongozi. Dikteta niyule ambae pesa za ruzuku za chadema anajilipa madeni ambayo hayaeleweki na hayana mwisho.Dikteta ni yule nafasi za Viti maalumu anazigawa kwa rushwa ya ngono.
Mtu akiongea ukweli tusijali itikadi yake tuchukue anachokisemaHuyu anawashwa sasa naamuru bunge lizimwe tusimsikie akitoa unafiki wake.
Vp kuhusu ajira, mapato ya serikali yatayotokana na gesi, fedha za kigeni n.k. vp uwekezaji ambao utagarimu zaidi ya trillioni sitini (mara mbili ya bajeti ya Tanzania) zikiingia kwenye mzunguko. Fikiri nje ya box.....kama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.
MKUU usimlaumu JPM kuhamia kwenye UMEME wa MAJI na kuachana na gas, Kule kwenye gas jk alishahalibu na mikataba ya hovyo iliyosainiwa mwishoni pale, huko hakugusiki tena.Na moja ya maamuzi mabovu kabisa ya JPM ni kutotoa kipaumbele kwenye sekta ya gas.
Gas ni uchumi
Gas ni viwanda
Gas ni ajira
Gas ni bakora ya siasa za kimataifa....
Too much energy in minerals but madini means nothing but only money!
Acha kupotosha....MKUU usimlaumu JPM kuhamia kwenye UMEME wa MAJI na kuachana na gas, Kule kwenye gas jk alishahalibu na mikataba ya hovyo iliyosainiwa mwishoni pale, huko hakugusiki tena.
[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
comes aroundsafi. goli la mkono linakutokea puani.
my friend, what goes around............
Kwa hiyo Nape anamaanisha 100Mil za Mzee Ngoma, Hela ya kununulia Bombadier, Hostel za UD, na mengineyo yalikuwepo kwenye ilani ya CCM??[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Kwani kuhamia Dom ipo kwenye ilani, Nape anazidi wehuka.
Hii la hiyo stigler ilikuwa planned since Nyerere era, likewise kuhamia Dom.
Bora lakini kaonyesha his real colors
Wapikama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.