Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Shetani hajawahi kuwa binadamu mpaka hapo anakucheka sanaMbona akisifiwa hamlalamiki ?? ila mkubali mkatae magufuri wenu alikuwa shetani, simtetei Nape lkn yule mtu matendo yake hayakuwa ya kitanzania, roho yake ilikuwa ya kikagame kagame na mseven mseven...
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
1. Shetani alikuwa malaika wa nuru ila akatamani utukufu wa Mungu ili autwae
2. JPM alikuwa binadamu mwenye asili ya uzao wa 'Adamu na Eva' waliofinyangwa kwa kutumia udongo wa ardhi kisha wakahuishwa pumzi ya Mungu kuwa hai
Je, kama JPM alikuwa shetani alishawahi kuwa malaika?