Nape na January, sasa ndio nini kwenda kuchekea nyuma ya nyumba? Andaeni ziara za Arusha, atawapokea, atake asitake

CCM kuna makundi mawili ya wazi kabisa, siku hizi ni mashindano kila siku, leo yupo Hangaya anawabeba vijana wake mnachekelea, kesho atakuja mwingine atawabeba tena kina Makonda, biashara kichaa inaendelea.

Sasa mmeigeuza hii nchi na uongozi wa umma kama haki yenu, mnatamba kwasababu wengine tumeamua kuitwa wapiga kura tusioheshimiwa hata hizo kura zetu, bado tupo tunawaangalia tu.

Iko siku tukiamka tutawakumbusha cheo cha umma sio uwanja wa vijembe kati yenu, ni dhamana isiyo na mwenyewe, nyie wapuuzi hamna haki yoyote juu ya raia wengine wa kawaida wa hii nchi.
 
Sasa mmeigeuza hii nchi na uongozi wa umma kama haki yenu, mnatamba kwasababu wengine tumeamua kuitwa wapiga kura tusioheshimiwa hizo kura zetu, iko siku tukiamka tutawakumbusha cheo cha umma sio uwanja wa vijembe kati yenu, ni dhamana isiyo na mwenyewe.
Kuna watu wanajiona kuwa viongozi ni haki yao,wasipoteuliwa wanamuona mteuzi mbaya
 
CCM kuna makundi mawili ya wazi kabisa, siku hizi ni mashindano kila siku, leo yupo Hangaya anawabeba vijana wake mnachekelea, kesho atakuja mwingine atawabeba tena kina Makonda, biashara kichaa inaendelea.

Sasa mmeigeuza hii nchi na uongozi wa umma kama haki yenu, mnatamba kwasababu wengine tumeamua kuitwa wapiga kura tusioheshimiwa hizo kura zetu.

Iko siku tukiamka tutawakumbusha cheo cha umma sio uwanja wa vijembe kati yenu, ni dhamana isiyo na mwenyewe, nyie wapuuzi hamna haki yoyote juu ya raia wengine wa kawaida wa hii nchi.
ccm ni laana kwa Taifa!
 
Kuna watu wanajiona kuwa viongozi ni haki yao,wasipoteuliwa wanamuona mteuzi mbaya
Hii tabia ndio inayoleta uharibifu, na inazaa ubadhirifu wa mali za umma, kwasababu wanajiona wako huru kufanya watakacho wakijua watalindwa na mtawala, wao kazi yao inabaki kumpamba tu kwa kila nyimbo.
 
CCM kuna makundi mawili ya wazi kabisa, siku hizi ni mashindano kila siku, leo yupo Hangaya anawabeba vijana wake mnachekelea, kesho atakuja mwingine atawabeba tena kina Makonda, biashara kichaa inaendelea.

Sasa mmeigeuza hii nchi na uongozi wa umma kama haki yenu, mnatamba kwasababu wengine tumeamua kuitwa wapiga kura tusioheshimiwa hata hizo kura zetu, bado tupo tunawaangalia tu.

Iko siku tukiamka tutawakumbusha cheo cha umma sio uwanja wa vijembe kati yenu, ni dhamana isiyo na mwenyewe, nyie wapuuzi hamna haki yoyote juu ya raia wengine wa kawaida wa hii nchi.
Yaani mpaka useme.....badoo hujasema
 
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.

Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Atakwenda Airport kumpokea Naibu Waziri Mkuu,Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais mwenyewe pamoja na viongozi wa juu wa chama.
Wengine atawasubiri ofisini tu sio lazima kuwaokea na wala sio lazima kuongozana nao kwenye ziara za kikazi.
 
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.

Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
January hahusik na masuala ya ndani ya nchi. Kama ataenda Arusha basi ni kwenye mikutano na si ziara.

Nape ziara Arusha kuhusu nin?
 
Back
Top Bottom