Nape na January, sasa ndio nini kwenda kuchekea nyuma ya nyumba? Andaeni ziara za Arusha, atawapokea, atake asitake

Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.

Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Michepuko ya Makonda itakusuta... Subiri uone
 
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.

Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Hao unaowataja hata hawana lolote pasipo kubebwa na mfumo dhalimu,,,,hawana performance na credibility ya kutajwa mbele ya watu wenye hakili....
 
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.

Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Uzuri ni kwamba wapinzani ajenda zenu ziko CCM halafu wanaoshinda ni CCM!

Kwa hiyo CCM wanajua kuwachezesha kweli kweli!
 
Atakwenda Airport kumpokea Naibu Waziri Mkuu,Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais mwenyewe pamoja na viongozi wa juu wa chama.
Wengine atawasubiri ofisini tu sio lazima kuwaokea na wala sio lazima kuongozana nao kwenye ziara za kikazi.
Anaupokea Mwenge itakuwa Waziri!.
 
Anaupokea Mwenge itakuwa Waziri!.
Mwenge unapewa hadhi ya Rais ndio maana mbele ya Mwenge husomwa risala ya utii kwa Rais wa JMT.
Waziri hana hadhi sawa na Mwenge hivyo Mkuu wa Mkoa hawajibiki moja kwa moja kwa Waziri.
Mara nyingi Waziri anaambatana na Mkuu wa Mkoa wanapokua wana deal na jambo moja kwa pamoja nje ya hapo Waziri ana ziara zake na RC anaendelea na ratiba zake.
Lakini akiwepo Waziri Mkuu,Makamu wa Rais na Rais huwezi mkosa mkuu wa mkoa.
 
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.

Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
JamiiForums-787880945.jpeg
 
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.

Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Vitu vingine vinachekesha sana
 
Back
Top Bottom