Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Sisi wanyonge.Wanachi wapi unaowasemea labda?,acha ujinga sema ww na familia yako au ww na hawara yako
hahahahaWewe jamaa, Magufuli alishakufa
Move on hawezi kurudi tena tafuta chaka lingine upunguze njaa
Niliwahi msikia shehe mmoja akisema adhabu kwa wale ambao walitenda mabaya na kwenda kinyume na dini basi adhabu yao huanzia kaburini ambako unateswa mpaka ile siku ya hukumu ndiyo sasa unapelekwa motoni, aisee yale mahubiri yalikuwa yanatisha kinomaa.Na huko jehenamu liteswe mpk lifariki tena
dini haimfikishi mtu paradiso, ila wokovu kwa njia ya Yesu Kristo pekee ndio vitamuokoa mwanadamu na mateso ya milele. msidanganywe na hao wanaowahubiria mambo yasiyo na uhakika.Niliwahi msikia shehe mmoja akisema adhabu kwa wale ambao walitenda mabaya na kwenda kinyume na dini basi adhabu yao huanzia kaburini ambako unateswa mpaka ile siku ya hukumu ndiyo sasa unapelekwa motoni, aisee yale mahubiri yalikuwa yanatisha kinomaa.
Alichosema, taarifa zinadaiwa/takiwa ili kuthibitisha matumizi mabaya/wizi zitatoka kwa wahusika walewale waliyokuwa na Magufuli. Je, watatoa taarifa za kujiwekea pingu...Makamu wa Raisi wa sasa na wa Magufuli (Raisi), Waziri Mkuu, n.k.Kwahiyo kinga ya hizo pesa kuchunguzwa ni kwa kuwa kuna viongozi wa juu walishiriki ama nini? Kwani hawa viongozi wa juu hivi sasa wana utakatifu gani mpaka kusifanyike ukaguzi? Viongozi ambao wako madarakani kwa wizi wa kura wana sifa gani ya kukepwa fedha zilizokopwa kuchunguzwa? Kama unaowaona wana hadhi hiyo ni ww, maana ulifaidika na matumizi mabovu ya mikopo ile, hivyo unajua ukaguzi ukifanyika ukweli utafahamika na sifa zote za kijinga zitakoma.
Kila mtu na imani yake kwa hiyo baki na imani yako na tusipangiane kwa sababu kila mtu ana akili zake, ukweli tutaujua siku ya hukumu.dini haimfikishi mtu paradiso, ila wokovu kwa njia ya Yesu Kristo pekee ndio vitamuokoa mwanadamu na mateso ya milele. msidanganywe na hao wanaowahubiria mambo yasiyo na uhakika.
lakini kuna imani potofu zinazopeleka watu motoni, na imani za kweli pia. Imani ya Kweli ni wokovu kwa Njia ya Yesu Kristo tu. nje ya hapo lazima uende motoni.Kila mtu na imani yake kwa hiyo baki na imani yako na tusipangiane kwa sababu kila mtu ana akili zake, ukweli tutaujua siku ya hukumu.
Hawajaamini hao wanasema kuwa bado wanaendelea kumsubiri kuna siku atarudi.Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee kama ulikuwa akilini mwangu maana nami nilitaka kumjibu hivyooo hivyooooWanachi wapi unaowasemea labda?,acha ujinga sema ww na familia yako au ww na hawara yako
Wote ni wana ccm wenzakoKimsing, kujadili watu kama Nape na Makamba ni kutumia muda wako vibaya; angalau Makamba ni waziri ambaye maamuzi yake yanatuhusu sote, huyu tunaweza kumjadili lakini siyo Nape. Tutaanza kumjadili Nape akipata uteuzi ambao anautafuta sana.
Naona unawatafuta wafia legacy wakutukaneJini jiwe alikuwa mwongo, mzandiki na mfitini.
Alitudanganya kuhusu SGR kipande Cha Dar -Moro kuwa kingeanza mwezi August mwaka 2020 mpk leo zii
Alitudanganya kuwa tunajenga miradi mikubwa kwa fedha zetu za ndani lkn kumbe anakopa kama hana akili nzuri.
Alitudanganya kuhusu reli ya Dar -Moshi/Arusha mpk leo kimya.
Nina hakika hata hiyo kauli ya Kalemani ilikuwa fix tu
Ukiondoa ukinyonga wa Nape.Waziri wa fedha ni Makamu wa Rais wa sasa. Duuuuuu....... Napeee?
Upo sahihi sana lkn sidhani kama wale wafia legacy watakuelewa.Moja ya sifa za utawala Bora duniani Ni uwazi kwenye matumizi ya raslimali za Nchi.
Tatizo la watu kuomba taarifa ya matumizi wa fedha zao Ni lipi?
Au unadhani Kama Magufuli alikopa, Ni familia yake watalipa?
Kama alikopa na kutumia kwa mujibu wa taratibu na sheria, hofu ya kuomba ukaguzi inatoka wapi?
Tena nadhani ndio ingekuwa vizuri mikopo hiyo ikakaguliwa ili marehem awe cleared.
Tusianzishe upashkuna usiokuwa na sababu
Legacy ipi hiyo unayo ililia kwa kulazimisha?ni ngumu sana kuifuta legacy ya Magufuli kama lengo lako ni hilo
Wana machungu utadhani wameachwa wajaneSukuma gang wamechanganyikiwa. Maana wameachwa solemba na jini lao
Wacha yakanyaganeMgambo wanaruka na kukanyagana..eh wanachezaaa..hahahah
Majizi ya kura yanageukana kweli ushirika wa wachawi haudumu! Legacy uchwara inafifia siku hadi siku
Vipi jini Gaidi pale..?Jini jiwe alikuwa mwongo, mzandiki na mfitini.
Alitudanganya kuhusu SGR kipande Cha Dar -Moro kuwa kingeanza mwezi August mwaka 2020 mpk leo zii
Alitudanganya kuwa tunajenga miradi mikubwa kwa fedha zetu za ndani lkn kumbe anakopa kama hana akili nzuri.
Alitudanganya kuhusu reli ya Dar -Moshi/Arusha mpk leo kimya.
Nina hakika hata hiyo kauli ya Kalemani ilikuwa fix tu
Kwanini usimshukuru mungu wako ili aiondoe ccm inayokutesa kila siku?Jizi la kura lina legacy gani? Tunashukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi dhalimu bila damu kumwagika.