Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
ila nakumbuka ile humiliation ya nape alipotembea kwa mguu kwenda ikulu kuomba msamaha baada ya kusemelewa na bashite, alitia huruma hata ningekuwa mimi nisingesahau lazima nigebaki na donge moyoni. alitembea kwa mguu afu sijui kama alivaa ndala vile.