Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

Aisee kama ulikuwa akilini mwangu maana nami nilitaka kumjibu hivyooo hivyoooo

Sasa wananchi nchi hii wapo zaidi ya 50M kama sio nyie wawili why wasiwe wengine?! Embu tumieni akili kidogo bs[emoji23][emoji23]
 
Bwahahahaaa! Sikuwahi kutegemea kwamba kuna siku MATAGA mtakuja kuwa ndiyo wapinzani.....
Ila niwaonye tu, kama Magufuli mwenye dola alishindwa ninyi wapiga vigelegele hamtaweza......
 
Sexless maana yake nini, au?.Kwanini anaachwa bila kupewa elimu kijamaa,undugu na Umoja. Ubinafsi ni mbaya sana mpeni huyu Sexless
 
Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

vipi afisa maandazi,ndio maana walikupiga chini,huna adabu hata kwa wazazi wako.
 
Hili jitu lisingekuwa na roho mbaya lingetufikisha mbali sana na lingeishi maisha marefu. Lkn roho mbaya yake ndio ilikatisha maisha yake!
 
Mtajichosha sana kumtete mwendazake, nafikiri hata Nape anacheka mnavyotumia nguvu kubwa kulinda legacy ya mwendazake. Atasauhalika tu, ERA impita haitarudi kamwe. Ukaguzi natumaina utamsafisha zaidi ili lijulikane kwa Wananchi tusiogope kuchunguzwa ili tuelewe na bei za ndege zetu na matumizi kama yale trilioni ya fedha zetu. Tusifiche kitu hii ni kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijanyo na iwe fundisho kwa viongazi/Marais wajao.
 
Wewe ni mpumbavu kwelikweli.
Magufuli alikuwa binadamu kama baba yako kule siongei tu.
Kuhoji matumizi ya pesa za serikali siyo kosa na halijawahi kuwa kosa popote pale duniani.
Hata chakubanga juzi wakati anaongea na wasafi aliongea ujinga kama huu.
Mnataka kuaminisha watu kwambakumkosoa yule CHIZI WENU aliyekufa KIBUDU ni kosa?

Heri yako wewe utakae kufa ukiwa hai huko kaburini
 
Mi namkumbuka tu Ben saanane!huyo tu!aliniuma sana!!!Hapana aiseh!ukatili wa magufuli ulivuka mpaka!kabisa!!wala sio utani!!!
 
Upinzani ni natural phenomenon: uko mioyoni. Wapo waliodhani upinzani ni brand name ya CHADEMA. Sasa wao ndio “pinga pinga” kama walivyokuwa wakidhihaki. Na kama hawaijui CCM vizuri wakiendelea kumbeza mama, ndipo watakapojua maana halisi ya kuwa mpinzani Tanzania.
 
Kwa umri huu. Atutakaa tumwone Rais atakaye fanya mambo, kwa haraka kama JPM. Uwamzi wa haraka kisimamia kazi ulizopewa na kufuatilia sawasawa. Achia mbali kukandamiza wapinzani, kulinda utawala wake. Hii na kwa kila mtu au chama kingine watafanya hivyo. Hata wakipewa NCCR-M Watafanya hivyo, au UDP,au ACT. Mbali ya chadema. Kufanya kazi alizozifanya JPM tutasubira sana. Kusimamia wizi kama John
 
Kwa umri huu. Atakaa tumwone Rais atakaye fanya mambo, kwa haraka kamajo JPM. Uwamzi wa haraka kisimamia kazi umizo pewa. Achia mbali kukandamiza wapinzani kulinda utawala wake. Hii na kwa kila mtu au chama kingine watafanya hivyo. Hata wakipewa NCCR-M Watafanya hivyo, au UDP,au ACT. Mbali ya chadema. Kufanya kazi alizozifanya JPM tutasubira sana. Kusimamia wizi kama John
Tutampata baada ya miaka 30 ijayo
 
Back
Top Bottom