johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katika Ulimwengu wa Roho hakunaga jambo Dogo
Waislamu husema Mtu akifa basi hunenwa Mema yake na yale mabaya huachiwa yeye mwenyewe na Mungu wa mbinguni
Uzi huu si kwa ajili ya hawa Watumbuliwa la hasha bali Wote wenye Tabia ya kuwanenea mabaya marehemu
Pia soma:
Wote tuseme " Mungu ameamua ugomvi"
Sasa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ataongoza kwa Amani kwa sababu Ndumilakuwili wamepungua kwenye cabinet yake
Heri Mchawi kuliko Mnafiki
RIP Shujaa Magufuli
Pia soma
Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
- Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi