Pre GE2025 Nape na Makamba walisamehewa na Magufuli na Ubunge wakapewa lakini alipokufa Wakaendelea kumsimanga marehemu, Exodus 14:14 imehusika sasa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna watu
Shetani ni mama yako aliyekuzaa ukaweza kuwa unawaita watu wazuri kama Hayati Magufuli majina mabaya eti kwa sababu tu alikudhibiti kwenye tabia yako mbaya ya kishoga na ufisadi.
wakiguswa kidogo tu wanaita viongozi majina mabaya hasa kuna wengine kipindi cha kikwete alivunja mabanda ya pembezoni mwa barabara na mali zikiwemo ni pesa nyingi sana nilipoteza ila sijawahi kumwita mzee wa watu shetani.
 
Nape akimuona Masha au Kawambwa moyo unamfanya pwaaaaaaah
Aende na yeye kwa yule tapeli wa kutoka DRC anayejiita kiboko ya wachawi akamtabiria hatima yake, maana majuzi Masha kaambiwa kuanzia mwezi September mwaka huu ataanza kuimbwa kwani mambo yake yatamnyookea sana.
 
Kwani aliyesema "mungu kaamua ugomvi" aliyesema "kipindi Fulani kulijengeka nidhamu ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa yuda mmoja" Wana tofauti Gani....!
 
magufuli aliua watu, uzuri uko wapi? Usifanye kosa la kuua. Sami ameshafanya kosa hilo! Sativa anampa
35, 000,000 halafu anasemakuna drama za kutekana! means anahusika katika watu waliotekwa wakafa/wakapotea kabisa mpaka leo!
Kama aliua watu ilikuwaje wewe ukabakia ndugu muuaji mwandamizi.
 
MTU yeyote aliyetumbuliwaga na jembe kutoka chato alikuwa hafai.
JPM alikuwa miles ahead kipind hicho huyu bibi anashtuka miaka 5 mbele.
Magufuli hakuwa anachagua viongozi kwa udilifu maana hata yeye hakuwa muadilifu, bali alichagua viongozi waliokuwa wanamsujudia, wa ukanda wake, ama wa dini yake. Hilo la uadilifu liondoe kabisa.
 
Shetani ni mama yako aliyekuzaa ukaweza kuwa unawaita watu wazuri kama Hayati Magufuli majina mabaya eti kwa sababu tu alikudhibiti kwenye tabia yako mbaya ya kishoga na ufisadi.
Magufuli alikuwa shetani kwenye umbile la ubinadamu. Hutaki jinyonge.
 
Kuwaondoa hao viwavi wawili pia ni mpango mkakakti wa Samia kutu win sisi watu wa kanda ya ziwa, lakini bila kupepesa macho tunamwambia hatudanganyiki.
Kanda ya ziwa ikpata uwanja wa ndege wa kimataifa pamoja na barabara njia 4 kuingia jiji atakuwa ame win sana.
 
Magu hakuwa mjinga kuwatimua wew unawakumbatia
Unajua binadamu ni wagumu kuelewa tu. Sisi tulimwambia mama tangu mwanzo kwamba hawa watu hawafai, lakini hakutusikiliza. Akaamua kuwakumbatia kwa sababu ya majina ya baba zao. Sasa ndio ameshituka na kuwatumbua baada ya kugundua ni hopeless 😔
 
Bado hatujajua chanzo cha kifo cha baba yetu, baba wa taifa hili, tukimjua aliyehusika lazima tumle nyama walah, saiz hili taifa lingekuwa lipo uchumi wa kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…