Pre GE2025 Nape na Makamba walisamehewa na Magufuli na Ubunge wakapewa lakini alipokufa Wakaendelea kumsimanga marehemu, Exodus 14:14 imehusika sasa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Walitenguliwa kipindi cha Magufuli na sasa wametenguliwa tena na aliyewateua mara nyingine !

Hiyo inaonyesha ni jinsi gani hao jamaa wamejenga kiburi kwa mamlaka za juu yao !
Na hii sio kwa bahati mbaya !
Nawashauri wajaribu kukumbuka walishiriki katika jambo gani la udhalilishaji kwa mtu mwema wa Mwenyezi Mungu !

Karma is real 🙏🙏🙌
 
Hivi kwa nini jpm alikuwa anapenda kujipa ukuu asiostahili? Mwenye uwezo wa kusamehe mtu ni Mungu tu. Kwa nini jpm alikuwa anaongoa nchi kama Mungu eti kimsema ni kosa na anauwezo wa kukusamehe au lal!

Ndo mana mungu alikasirika kupitia akina kikwete. Wakaamua kumdunga sindano ili nchi ikae kwa amani mana jpm alikuwa anaogopa wenye akili anakumbatia vilaza akina makinda na majaliwa plus bashiru (malaya)
 
Samia aliambiwa toka mwanzo kwamba hao watu sio wazuri, akaona labda watu wana roho mbaya na hao jamaa. Muda ni mwalimu mkuu, hatimae amejionea mwenyewe kwanba hawa ni vimeo.

Mbaya zaidi Makamba kamuambukiza ujinga Byabato ambae hakua na tabia za ajabu ajabu.

Makamba na Nape ni kama zigo la mavi, ukilibeba lazima mwishoni utanuka mavi tu.
 
Ubunge walipewa au walishinda?

Kwanza walisehewa kosa gani?
 
pambaneni na ufaisadi uliomo ndani ya ccm na serikali yake.

Makamba akikosa uwaziri au kuupata wewe haina faida kwako zaidi ya Chuki binafsi tu.
 
Kama uliwahi kukataliwa na Magufuli basi tambua kbs haukuwahi kufaa kuwa kiongozi na kama ulibahatka kukubalika na JPM bas wewe ni kiongozi bora sana.
Kwa hiyo Ole Sabaya ni kiongozi kwa kuwa alikubalika na Magufuli? Vipi Taletale na Mwigulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…