Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Hapo bado mtashikana uchawi hadi vyumbani maana mungu ana njia zake za kuwachapa fimbo ili kujibu maombi ya mlio watendea mabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wana ccm mnamkosea sana Nape heshima. Nape ameifanyia mengi sana ccm hivyo kumlinganisha yeye na mokonda ni dhihaka kubwa sana sana.
 
Hayo mengine nakubaliana na wewe isipokuwa hapo Panaposema asiwe amiri jeshi mkuu. Sasa jeshi litakuwa na utii kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwengine ambae sio mwana siasa, hii italeta utekelezaji mzuri wa vyama vya siasa katika kutimiza majukumu yao bila ya hila, lakini kuwa rais mwana amiri jeshi mkuu, kunapelekea kutumia madaraka vibaya kwa upande mmoja.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waa
Waache wadanganyane ccm na magufuli bado ipo imara 2020 ni kura ya ndiyo tu.
 
Yani Membe pamoja na Kukaa kimya bado anaonekana kikwazo!!
Tanzania Nchi huru..Hii sasa ni Kero..
Kuna kaInji fulani Zee moja linaona NONGWA watu kunywa WINE ya Bob Marley...
 
Reactions: prs
Ukweli ni kwamba tayari Bernard Membe anaongoza mtandao mpya ulioasisiwa na Rostam Aziz havi karibuni. Wajumbe wa mtandao huo na ambao hadi sasa wanajulikana ni pamoja na Rostam mwenyewe, Jakaya Kikwete, Nape Nnauye, Freeman Mbowe, Uhuru Kenyatta, Salma Kikwete (haijathibitishwa) na Edward Lowasa. Tuendelee kusubiri lakini kwa tunaojua jinsi utawala wa JPM unavyofanya kazi, yajayo yanafurahisha.
 

Dhambi ni mbaya, na dhambi huzaa Dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…