wanaosema bunge live vipi, mbona mim natazama vipindi vya bunge live, au mwasemea bunge lipi
Hapo mm kuna watu nimewawekea mtego najua lazima watanasa.take care utatukanwa!
Nape ni kada wa CCM na mtaalamu wa propaganda kwa hivo usishangae hapo kaongea maneno mengi sana kwa sentensi moja tu...........namaanisha huenda hajamaanisha alichosema