Nape: Namheshimu Lowassa!

Nape: Namheshimu Lowassa!

Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!

Source: Vichwa habari Magazetini.

We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!

Umekielewa kiingereza chako na ulichochangia? Basi sahihisha hicho kiingereza kiendane na mchango wako wa kiswahili.
 
wanataka wakipiga ngumi walinzi wa bunge huku wakiwa wamekwidwa kutolewa nje ya ukumbi waonekana. eti hii ndio sera ya kuwaongezea kura.
Leo hoja za ESCROW,EPA,BUNGE LIVE,LUGUMI zimegeuka tasfiri na kuwa "ngumi" ?ama kweli siku hadi siku ninazidi kuongeza imani kuwa CCM ni chama chakavu
 
Watu wanaongelea ujenzi Wa flyover 9 dar , wewe umekomaa na sukari!!

Kweli nyumbu ni nyumbu mbinguni na aridhini
Flyover mia zitakusaidia nini kama hata chai ya rangi msibani hatuwezi kupata kweli fisi ni fisi porini na uraiani
 
Lazima amuheshimu maana anajua ndio mshindi halali wa urais pamoja yote aloyomfanyia bado jamaa aliibuka mshindi na kama sio kuchakachuriwa nazani angekuwa katika hali mbaya sana.
 
Hata lowasa ulisema hivyo hivyo kuwa hawezi kuja chadema lkn Leo ndio boss wako na wewe ndio muosha miguu wake.
Lowassa anawafanyia kitu nzuri mpaka mnakosa usingizi anyway don't worry mzee atarudia na usingizi utapatikana
 
Lowassa hajawa mada nchini,Msikilize Marehemu :

" vijana Leo wengi wanamali zaidi kuliko wazee waliofanya kazi miaka thelathini had I arobaini," Edward Moringe sokoine 23/10/1983

Vijana hao ndio waliokuwa UWT na UVT sasa so ndio mafisadi Wa Leo wanaojidai mafia ccm ilikulinda mirija yao waliyoiweka 1961, chadema ilikuwepo??

Think big
 
take care utatukanwa!
Mkuu, ukweli ni kuwa Lowassa ki umri ni Sawa na Baba kwa Nape.

Ukweli zaidi ni kuwa ndani ya CCM Lowassa alikuwa ni Professa wa 'mikakati'! 'Kamati'ikiku-point 'upotezwe' unapotea kweli.

Ukweli usiopingika Nape ni mtoto aliyepata opportunities za kisiasa kwa 'kubebwa' na viongozi wakubwa akiwemo LOWASSA.

Msichokijua wengi ni kuwa Nnauye na Mzee Makamba walikuwa maswahiba sana. Na Makamba na Lowassa walikuwa marafiki hata Makamba kuwa Katibu Mkuu akiwa hana elimu wala maarifa ya Sasa za ushindani ni kamati yetu ileeeeeee iliyokuwa inaongozwa na Lowassa iliyompa huo ukatibu mkubwa. Unaweza kuona Nape amepanda kisiasa kwa 'kutupiwa kamba' na Lowassa.

Lowassa, njia alizotumia kuumiza wenzake...(Refer issue ya mzee wangu na swahiba wangu mzuri Salim kuitwa M-Hizbu wiki chache na siku 2 kabla ya uchaguzi mkuu wa 2000.)ndizo zilizotumika kumwondoa U-pm maana alishajulikana siku nyingi anautaka Upresident.

Nape, kwa Lowasa ni zaidi ya Kiroboto. Hana namna isipokuwa ku-appreciate kuwa yeye ni Zao na kazi nzuri ya Lowassa. Nilichopenda kwenye hii thread ni kuwa atlest Nape amegundua leo amefanya uungwana! Amekiri kuwa Lowassa ni mwalimu wake
 
Leo hoja za ESCROW,EPA,BUNGE LIVE,LUGUMI zimegeuka tasfiri na kuwa "ngumi" ?ama kweli siku hadi siku ninazidi kuongeza imani kuwa CCM ni chama chakavu
Richmond, Dowans, Symbion vp mkuu? Kingunge yupo chama gani? Apewe cheo kabisa huko halafu tutajua chama chakavu ni kipi? Chadema ni waokota scraper mkuu amini hivyo.
 
Mkuu, ukweli ni kuwa Lowassa ki umri ni Sawa na Baba kwa Nape.

Ukweli zaidi ni kuwa ndani ya CCM Lowassa alikuwa ni Professa wa 'mikakati'! 'Kamati'ikiku-point 'upotezwe' unapotea kweli.

Ukweli usiopingika Nape ni mtoto aliyepata opportunities za kisiasa kwa 'kubebwa' na viongozi wakubwa akiwemo LOWASSA.

Msichokijua wengi ni kuwa Nnauye na Mzee Makamba walikuwa maswahiba sana. Na Makamba na Lowassa walikuwa marafiki hata Makamba kuwa Katibu Mkuu akiwa hana elimu wala maarifa ya Sasa za ushindani ni kamati yetu ileeeeeee iliyokuwa inaongozwa na Lowassa iliyompa huo ukatibu mkubwa. Unaweza kuona Nape amepanda kisiasa kwa 'kutupiwa kamba' na Lowassa.

Lowassa, njia alizotumia kuumiza wenzake...(Refer issue ya mzee wangu na swahiba wangu mzuri Salim kuitwa M-Hizbu wiki chache na siku 2 kabla ya uchaguzi mkuu wa 2000.)ndizo zilizotumika kumwondoa U-pm maana alishajulikana siku nyingi anautaka Upresident.

Nape, kwa Lowasa ni zaidi ya Kiroboto. Hana namna isipokuwa ku-appreciate kuwa yeye ni Zao na kazi nzuri ya Lowassa. Nilichopenda kwenye hii thread ni kuwa atlest Nape amegundua leo amefanya uungwana! Amekiri kuwa Lowassa ni mwalimu wake
Yes ,unamuacha anahonga hela , anaunda 4u movement, anazunguka nchi nzima kwa mbwembwe , mashehe na maaskofu feki wanaenda kumshawishi, anatengeneza mafuriko feki, then unamkata ,alafu baadae unampoza kwa kauli kama hizi.

Kwa kuwa ni nyumbu na anaongoza jeshi la nyumbu , basi nyumbu wake watafurahi sana na kuruka ruka. ~~~
 
Back
Top Bottom