Nape: Namheshimu Lowassa!

Nape: Namheshimu Lowassa!

Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!

Source: Vichwa habari Magazetini.

We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!

Hii Ndiyo Heshima? Au kuna namna ananusa Kutumbuliwa nini? Nape Ni mnafiki, mwongo, mzushi na asiye na staha (civility) wala adabu (No respect)
Niambieni kama hii ndiyo heshia anayosema, Katika Video hii Kamwita Lowassa Mwizi, Mjinga, Na mtu wa Kufa hivi karibuni"
 
Hii Ndiyo Heshima? Au kuna namna ananusa Kutumbuliwa nini? Nape Ni mnafiki, mwongo, mzushi na asiye na staha (civility) wana adabu (No respect)
Niambieni kama hii ndiyo heshia anayosema, Katika Video hii Kamwita Lowassa Mwizi, Mjinga, Na mtu wa Kufa hivi karibuni"

Mkuu mbona unatuwekea video za Uchochezi?
 
Nape ni kada wa CCM na mtaalamu wa propaganda kwa hivo usishangae hapo kaongea maneno mengi sana kwa sentensi moja tu...........namaanisha huenda hajamaanisha alichosema
Siku hizi ukiwa mropokaji mpaka upewe jina lavuvuzela hapo unakuwa mtaalamu wa propaganda?makubwa!
 
Nonsense,lowasa nae ni wakujifunza kitu kutoka kwake kweli?
Huhitaji kuwa na ubongo mkubwa kuliko wa kuku kutambua kuwa kila aliyezaliwa na mwanamke anacho anachojua na anaweza kujifunza zaidi toka kwa wengine. Chuki yako dhidi ya binadamu mwingine isikufanye ukafikiri kuwa huna la kujifunza toka kwake.

Mwenyezi Mungu akujalie neema ya utambuzi wa mambo madogo yenye maana kubwa maishani: Upendo, shukurani na msamaha.
 
Hii Ndiyo Heshima? Au kuna namna ananusa Kutumbuliwa nini? Nape Ni mnafiki, mwongo, mzushi na asiye na staha (civility) wala adabu (No respect)
Niambieni kama hii ndiyo heshia anayosema, Katika Video hii Kamwita Lowassa Mwizi, Mjinga, Na mtu wa Kufa hivi karibuni"

Kibaka kafika bei ha ha ha ha
 
Huyu Nape ndo alikuwa mtu wa kwanza kumshikia kibwebwe Lowasa kuhusu Jengo la UVCCM,Watu tukajua Nape ni mchukia ufisadi na hapo ndo akawa popular,ila hii ya kushadadia Bunge lisionyeshwe kama ilivyokuwa zamani,hapo hata simuelewi hata kidogo
Kwa hiyo mnataka muda wote awe anamsakama tu. Lowasa anamazuri yake lakini pia ana mabaya yake. So anapofanya mazuri tutampongeza na akifanya mabaya tutamsema. So politics siyo uadui. Nape yupo right tujenge siasa za UPENDO. Nyinyi mnapenda chuki akimsema vibaya haimaniishi hamueshimu. So acheni uchochezi
 
Ata mimi namuheshimu sana Lowassa amefanya tumewajua wanafiki wote wa nchi hii.. Bila Lowassa uhenda tungekuwa tunaamini Chadema ni chama cha kupambana na ufisadi ila leo tunajua ni chama cha wenye njaa na wasio na akili timamu.

Hee!! habari muntarab hii, hebu fafanua zaidi aisee tukupate vizuri
 
Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!

Source: Vichwa habari Magazetini.

We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!
Tujadili kichwa cha habari, tena pasipo chanzo wala habari yenyewe?
 
Wanasema mwanasiasa kitu ambacho atakuambia na ikawa ana maanisha ni jina lake tu, vinginevyo chukulia kama ni siasa tu.
 
Nonsense,lowasa nae ni wakujifunza kitu kutoka kwake kweli?
Kujifunza kwa mtu unajifunza mengi kijana hata mwenzako akiwa anafanya makosa wewe unaweza kujifuza kufanya kitu kwa tofauti na yy ili husifanye makosa kama yeye ana hapo utakuwa umejifunza kupitia kwake
 
Back
Top Bottom