mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,694
Nape ni kada wa CCM na mtaalamu wa propaganda kwa hivo usishangae hapo kaongea maneno mengi sana kwa sentensi moja tu...........namaanisha huenda hajamaanisha alichosema
Watu wanaongelea ujenzi Wa flyover 9 dar , wewe umekomaa na sukari!!Chadema walimshauri makufuli akitaka kumaliza tatizo la sukari nchini ukaongee na lowassa amsaidie
Nadhani saizi ccm ndio wameanza kujivuta.
Hizo flyover 9 mtaishia kuzijenga midomoni.Watu wanaongelea ujenzi Wa flyover 9 dar , wewe umekomaa na sukari!!
Kweli nyumbu ni nyumbu mbinguni na aridhini
Hata lowasa ulisema hivyo hivyo kuwa hawezi kuja chadema lkn Leo ndio boss wako na wewe ndio muosha miguu wake.Hizo flyover 9 mtaishia kuzijenga midomoni.
Hili ndilo jina lake: Nape mwandosya Huyo ndiyo baba yake Mzazi.Nape ni mnafiki na mropokaji....!! Labda sasa busara inaanza kumjia! Akiwa kwenye chama Nafikiria njaa ilikuwa kichwani!! Akawa anaropoka lolote tu! Sasa kama busara imemjia aanze kumtafuta baba yake sasa!! Aachane na majina ya watu!
Lowassa is only for the brainiests.Nonsense,lowasa nae ni wakujifunza kitu kutoka kwake kweli?
Wewe utakuwa gheto kwa Lugumi pia Umekariri Akili za January na propaganda zilee za kampeni ebu zinduka tumia zako acha kuishi kwa Akili za maadui wa chadema.Ata mimi namuheshimu sana Lowassa amefanya tumewajua wanafiki wote wa nchi hii.. Bila Lowassa uhenda tungekuwa tunaamini Chadema ni chama cha kupambana na ufisadi ila leo tunajua ni chama cha wenye njaa na wasio na akili timamu.
Kwahiyo na huyo nape nae ni alivyo sema anamuheshimu lowasa tayari ni muosha miguu ya lowasa.Hata lowasa ulisema hivyo hivyo kuwa hawezi kuja chadema lkn Leo ndio boss wako na wewe ndio muosha miguu wake.
mbona unawapenda waliuza nyumba za Serikali, wakanunua kivuko kibovu, mabehewa Feki, na sasa wanakupigia Dili la sukari .Mtu yoyote anayeheshimu mafisadi namdharau.
Nape anapima urefu Wa akili za wana chademaKwahiyo na huyo nape nae ni alivyo sema anamuheshimu lowasa tayari ni muosha miguu ya lowasa.
Kwahiyo unamaanisha nape hawezi kumueshimu lowasa.Nape anapima urefu Wa akili za wana chadema
Hana huo mudaKwahiyo unamaanisha nape hawezi kumueshimu lowasa.
Lofa ww,Nonsense,lowasa nae ni wakujifunza kitu kutoka kwake kweli?
Basi wewe sio mzima.Hana huo muda
Richmond ni ya Kikwete huko ndipo ungependa ukajifunze? Mabehewa feki ni ya baba yako Mwakyembe huko ndipo unajifunza? Kivuko chakavu ni cha baba yako huko ndipo unajifunza? January Makamba kapiga Dili kibao kwa kivuli cha ikulu na sasa yupo busy na vibali vya sukari Usiku wa manane hufanya vikao Dodoma je? Huko ndipo unajifunza?Nonsense,lowasa nae ni wakujifunza kitu kutoka kwake kweli?
Mzee wa fursa keshakuwa billion tayari kupitia humohumo Wakati wanahaha kujua wafanye nini January Makamba alikuwa busy kupiga Dili za sukari na sasa wataka vibali wote wanapitia kwake.Chadema walimshauri makufuli akitaka kumaliza tatizo la sukari nchini ukaongee na lowassa amsaidie
Nadhani saizi ccm ndio wameanza kujivuta.
That's why I hate politikWaziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!
Source: Vichwa habari Magazetini.
We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!
Huyu Nape ndo alikuwa mtu wa kwanza kumshikia kibwebwe Lowasa kuhusu Jengo la UVCCM,Watu tukajua Nape ni mchukia ufisadi na hapo ndo akawa popular,ila hii ya kushadadia Bunge lisionyeshwe kama ilivyokuwa zamani,hapo hata simuelewi hata kidogo