Nape: Namheshimu Lowassa!

Nape naona ndo bunge lake la mwisho hili
Nape mwandosya atakuwa katumwa si bure hipo pengine ni Kauli za kuwasahaulisha Watanzania juu ya Lugumi na vibali vya sukari.
 
Huyu Nape ndo alikuwa mtu wa kwanza kumshikia kibwebwe Lowasa kuhusu Jengo la UVCCM,Watu tukajua Nape ni mchukia ufisadi na hapo ndo akawa popular,ila hii ya kushadadia Bunge lisionyeshwe kama ilivyokuwa zamani,hapo hata simuelewi hata kidogo
Ishu ya bunge kutoonyeshwa live ni kauli ya serikali yote sio Nape peke yake. Yeye katumwa tu akaongee. Lakini hii ishu haina sababu za msingi sababu kama ni kubana matumizi kwa nn wazuie vyombo vya habari binafsi kurusha bunge?? Serikali inahitaji iwe sikivu kwa wananchi na sio kutumia mabavu kwa kila kitu. Wananchi tunahitaji bunge live ili tuone wawakilishi wetu wanavyochangia hoja na pia kujua nini kinachoendelea na maamuzi yanayotolewa.
 
Nonsense,lowasa nae ni wakujifunza kitu kutoka kwake kweli?
Mkuu hakuna mtu usiyeweza kujifunza kwake kwa 100%. Funzo unaloweza kupata toka kwa Edo ni kwamba ukitaka kuzifikia ndoto zako (kama za kuwa rais wa nchi) epuka udokozi wa mali ya umma. Lakini pia unatakiwa kujifunza kwamba siyo kila kitu kitapatikana kwa nguvu ya ama pesa au umaalufu binafsi. Yes juhudi zinatakiwa katika kila jambo lakini lazima kuwe na support toka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Nape ni kada wa CCM na mtaalamu wa propaganda kwa hivo usishangae hapo kaongea maneno mengi sana kwa sentensi moja tu...........namaanisha huenda hajamaanisha alichosema

ha ha!
 


Sijasoma magazeti, ila kama ni kweli Nape amesema hivyo, basi hili ni jambo jema...ni vizuri aende kumuomba msamaha kimya kimya...mimi LOWASSA siko naye kisiasa na wala kiitikadina hata kimatendo...ila sikupenda kabisa namna baadhi ya WanaCCM walivyomfanyia wakati wa kampeni, na hasa lile la kumdhalilisha kuwa ameji....kwenye jukwaa. That was too bad..zile zilikuwa ni siasa za kiwango cha chini kabisa...
 
Hizo ni mbuni za kuwahadaa chadema tu si Kweli kuwa Nape atakuwa anampenda Lowasa bali pengine Membe hakumlipa pesa yote aliyomwahidi sasa kaamua kumbeep kwa style hiyo ili apate balance yake iliyosalia ktk yale mabilioni ya marehemu Gadafi yaliyofichwa kwenye handaki nyumbani kwa Membe.
 
Mnahangaika na kigeugeu! Mwongo mwenye kutaka kujikosha.
Leo atasema hivi........ kesho vile...... bila kukumbuka juzi alisema nini!
Simwamini na hata siku moja sitakuja kumwamini.
Alisema Lowasa oil chafu! Iweje leo aseme anamheshimu?????????
 
Fanyeni maandamano
waandamane kwenda wapi mkuu? FFU ujue hawajapata mishahara watapiga na kuwachukilia simu zao na kila watachokuta Mfukoni, Kama ni kuandamana waandamane kwenda kwa January ambaye kalikamata Dili la sukari analichezesha atakavyo.
 
Ata mimi namuheshimu sana Lowassa amefanya tumewajua wanafiki wote wa nchi hii.. Bila Lowassa uhenda tungekuwa tunaamini Chadema ni chama cha kupambana na ufisadi ila leo tunajua ni chama cha wenye njaa na wasio na akili timamu.

We tondola huna mashiko,mumeo member keshapotea ktk siasa
 
Nape ni kada wa CCM na mtaalamu wa propaganda kwa hivo usishangae hapo kaongea maneno mengi sana kwa sentensi moja tu...........namaanisha huenda hajamaanisha alichosema
Naungana na wewe
 
Nape ni kada wa CCM na mtaalamu wa propaganda kwa hivo usishangae hapo kaongea maneno mengi sana kwa sentensi moja tu...........namaanisha huenda hajamaanisha alichosema
Naungana na wewe
 
Mnahangaika na kigeugeu! Mwongo mwenye kutaka kujikosha.
Leo atasema hivi........ kesho vile...... bila kukumbuka juzi alisema nini!
Simwamini na hata siku moja sitakuja kumwamini.
Alisema Lowasa oil chafu! Iweje leo aseme anamheshimu?????????
Ni kweli mkuu lakini pia Nape alikuwa akilipwa mabilioni na Membe ili amtukane Lowasa pengine sasa Membe kasitisha malipo kaamua kujiludi anataka kuishi bila wasiwasi wa kumbukumbu za ubaya aliomtendea Lowasa.
 
Hili ndilo jina lake: Nape mwandosya Huyo ndiyo baba yake Mzazi.
Hivi mbona hii ya huyu mhe.nape kuhusishwa na mwandosya kama ina ka ukweli fulani hasa ukiangalia sura zao kwa umakini?
 
waandamane kwenda wapi mkuu? FFU ujue hawajapata mishahara watapiga na kuwachukilia simu zao na kila watachokuta Mfukoni, Kama ni kuandamana waandamane kwenda kwa January ambaye kalikamata Dili la sukari analichezesha atakavyo.
Hakuna sehemu ambayo sukari inauzwa 4000,
Lazima mama ntilie wangeandamana.
 
Nape ni mnafiki na mropokaji....!! Labda sasa busara inaanza kumjia! Akiwa kwenye chama Nafikiria njaa ilikuwa kichwani!! Akawa anaropoka lolote tu! Sasa kama busara imemjia aanze kumtafuta baba yake sasa!! Aachane na majina ya watu!
uwiii mbavu zangu ! Napegua mdume ubaba wako ,katala tyukua!,
 
Ata mimi namuheshimu sana Lowassa amefanya tumewajua wanafiki wote wa nchi hii.. Bila Lowassa uhenda tungekuwa tunaamini Chadema ni chama cha kupambana na ufisadi ila leo tunajua ni chama cha wenye njaa na wasio na akili timamu.
Maneno kama haya yaliwahi kusemwa na mwanasiasa mmoja akuteitwa Steven Wasira, tena akaenda mbele zaidi kusema Chadema kitakufa kabla ya Uchaguzi ukiopita, nadhani unakumbuka vema nini kilimtokea huyo jamaa..
 
wanaosema bunge live vipi, mbona mim natazama vipindi vya bunge live, au mwasemea bunge lipi
wanataka wakipiga ngumi walinzi wa bunge huku wakiwa wamekwidwa kutolewa nje ya ukumbi waonekana. eti hii ndio sera ya kuwaongezea kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…