mwandosya ni baba yake wa DNAHivi mbona hii ya huyu mhe.nape kuhusishwa na mwandosya kama ina ka ukweli fulani hasa ukiangalia sura zao kwa umakini?
Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!
Source: Vichwa habari Magazetini.
We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!
Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!
Source: Vichwa habari Magazetini.
We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!
Umekielewa kiingereza chako na ulichochangia? Basi sahihisha hicho kiingereza kiendane na mchango wako wa kiswahili.Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!
Source: Vichwa habari Magazetini.
We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!
Utakuwa gheto kwa Lugumi!wanataka wakipiga ngumi walinzi wa bunge huku wakiwa wamekwidwa kutolewa nje ya ukumbi waonekana. eti hii ndio sera ya kuwaongezea kura.
Leo hoja za ESCROW,EPA,BUNGE LIVE,LUGUMI zimegeuka tasfiri na kuwa "ngumi" ?ama kweli siku hadi siku ninazidi kuongeza imani kuwa CCM ni chama chakavuwanataka wakipiga ngumi walinzi wa bunge huku wakiwa wamekwidwa kutolewa nje ya ukumbi waonekana. eti hii ndio sera ya kuwaongezea kura.
Flyover mia zitakusaidia nini kama hata chai ya rangi msibani hatuwezi kupata kweli fisi ni fisi porini na uraianiWatu wanaongelea ujenzi Wa flyover 9 dar , wewe umekomaa na sukari!!
Kweli nyumbu ni nyumbu mbinguni na aridhini
Flyover zitatusaidia sisi Wenye magariFlyover mia zitakusaidia nini kama hata chai ya rangi msibani hatuwezi kupata kweli fisi ni fisi porini na uraiani
Lowassa anawafanyia kitu nzuri mpaka mnakosa usingizi anyway don't worry mzee atarudia na usingizi utapatikanaHata lowasa ulisema hivyo hivyo kuwa hawezi kuja chadema lkn Leo ndio boss wako na wewe ndio muosha miguu wake.
Tunamalizia kwa kusema: Ushamba ni mzigoFlyover zitatusaidia sisi Wenye magari
Ongeza jiki na omo ili Mzee atakate kabisaLowassa anawafanyia kitu nzuri mpaka mnakosa usingizi anyway don't worry mzee atarudia na usingizi utapatikana
Flyover zitatusaidia sisi Wenye magari
Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi lowasa ~~~~ G Lema( mbunge)Tunamalizia kwa kusema: Ushamba ni mzigo
Anaweza kuendelea kuwa Mbunge kwa viti maalum, lakini kwa kutokea Mtama! MmmhNape naona ndo bunge lake la mwisho hili
Basi kajifunze kwa Kitwanga au yule Mkuu wa Mkoa wa kule Pemba na Mshauri wa Rais wa nchi ya ZanzibarNonsense,lowasa nae ni wakujifunza kitu kutoka kwake kweli?
Mkuu, ukweli ni kuwa Lowassa ki umri ni Sawa na Baba kwa Nape.take care utatukanwa!
Wewe ni mmoja kati ya wadada wanaofanya usafi bungeni bila shaka.wanaosema bunge live vipi, mbona mim natazama vipindi vya bunge live, au mwasemea bunge lipi
Richmond, Dowans, Symbion vp mkuu? Kingunge yupo chama gani? Apewe cheo kabisa huko halafu tutajua chama chakavu ni kipi? Chadema ni waokota scraper mkuu amini hivyo.Leo hoja za ESCROW,EPA,BUNGE LIVE,LUGUMI zimegeuka tasfiri na kuwa "ngumi" ?ama kweli siku hadi siku ninazidi kuongeza imani kuwa CCM ni chama chakavu
Yes ,unamuacha anahonga hela , anaunda 4u movement, anazunguka nchi nzima kwa mbwembwe , mashehe na maaskofu feki wanaenda kumshawishi, anatengeneza mafuriko feki, then unamkata ,alafu baadae unampoza kwa kauli kama hizi.Mkuu, ukweli ni kuwa Lowassa ki umri ni Sawa na Baba kwa Nape.
Ukweli zaidi ni kuwa ndani ya CCM Lowassa alikuwa ni Professa wa 'mikakati'! 'Kamati'ikiku-point 'upotezwe' unapotea kweli.
Ukweli usiopingika Nape ni mtoto aliyepata opportunities za kisiasa kwa 'kubebwa' na viongozi wakubwa akiwemo LOWASSA.
Msichokijua wengi ni kuwa Nnauye na Mzee Makamba walikuwa maswahiba sana. Na Makamba na Lowassa walikuwa marafiki hata Makamba kuwa Katibu Mkuu akiwa hana elimu wala maarifa ya Sasa za ushindani ni kamati yetu ileeeeeee iliyokuwa inaongozwa na Lowassa iliyompa huo ukatibu mkubwa. Unaweza kuona Nape amepanda kisiasa kwa 'kutupiwa kamba' na Lowassa.
Lowassa, njia alizotumia kuumiza wenzake...(Refer issue ya mzee wangu na swahiba wangu mzuri Salim kuitwa M-Hizbu wiki chache na siku 2 kabla ya uchaguzi mkuu wa 2000.)ndizo zilizotumika kumwondoa U-pm maana alishajulikana siku nyingi anautaka Upresident.
Nape, kwa Lowasa ni zaidi ya Kiroboto. Hana namna isipokuwa ku-appreciate kuwa yeye ni Zao na kazi nzuri ya Lowassa. Nilichopenda kwenye hii thread ni kuwa atlest Nape amegundua leo amefanya uungwana! Amekiri kuwa Lowassa ni mwalimu wake