johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani unesahau maana ya Sii hasa. Siasa inaweza kuwa nzuri ila sii hasa ni mbaya wakati wote🏃.Huyu ndumila kuwili!Eti uamuzi wa Bunge live ni wa Bunge na si serikali!Mbona kipindi kile akiwa Waziri yeye ndiye aliyezuia Bunge live Kwa visingizio vya gharama na ni muda wa kazi?
Wanasiasa sio watu wakuamini kabisa,Shwain!
Kasome kanuni za bunge utaelewa.Huyu ndumila kuwili!Eti uamuzi wa Bunge live ni wa Bunge na si serikali!Mbona kipindi kile akiwa Waziri yeye ndiye aliyezuia Bunge live Kwa visingizio vya gharama na ni muda wa kazi?
Wanasiasa sio watu wakuamini kabisa,Shwain!
Hizo kanuni na taratibu aliwezaje kuzibaka kipindi Cha JPM?Kasome kanuni za bunge utaelewa.
Bunge ina studio zake na utaratibu wake wa kikanuni wa urushaji matangazo!
Kila zama na kitabu chake!Hizo kanuni na taratibu aliwezaje kuzibaka kipindi Cha JPM?
Si ndio maana Nasema wanasiasa ni ndumilakuwili,sio wakuamini kabisa!Kila zama na kitabu chake!
Ufumbuzi ni kwa Bunge kujenga Studio zake.Si ndio maana Nasema wanasiasa ni ndumilakuwili,sio wakuamini kabisa!
Sababu zilizotajwa na Nape(serikali) kuondoa Bunge live ni...
Wadau walipojitokeza kugharamia,Bado serikali ilikataa!Ufumbuzi ni kwa Bunge kujenga Studio zake.
TBC imeokoa tsh 4 bilioni ilizokuwa inatumia kurusha bunge live!
Kama kasema hivyo kalikosea adabu bungeKikao kinachoongozwa na Spika yeye anakiita Mbwembwe?
Kwenye hili namuunga mkono kwa 💯 mheshimiwa waziri Moses Nape NnauyeWaziri wa Habari mh Nape amesema uamuzi wa bunge live ama la ni wa Bunge lenyewe na siyo la Serikali hivyo yeye yuko tayari kushirikiana na Bunge kama watahitaji kuwa live...
Of courseWaziri wa Habari mh Nape amesema uamuzi wa bunge live ama la ni wa Bunge lenyewe na siyo la Serikali hivyo yeye yuko tayari kushirikiana na Bunge kama watahitaji kuwa live...
Anajua alipojikwaa huko nyumaNape anajidai mstaarabu sana siku hizi.
Kwani kamati huongozwa na nani?Kikao kinachoongozwa na Spika yeye anakiita Mbwembwe?