Leo kasahau kuwa alisema hivyo.Si ndio maana Nasema wanasiasa ni ndumilakuwili,sio wakuamini kabisa!
Sababu zilizotajwa na Nape(serikali) kuondoa Bunge live ni:
1.Gharama kubwa hivyo ni mzigo Kwa serikali.
2.Bunge live ni muda wa kazi hivyo watu huacha kazi na kuangalia Bunge!
Swali,Je,sababu hizo mbili zimepatiwa ufumbuzi gani??