Nape: Ni vema ‘Bunge LIVE’ likaanzia kwenye Vikao vya Kamati za Bunge ambako ndiko mambo mengi hufanyika

Nape: Ni vema ‘Bunge LIVE’ likaanzia kwenye Vikao vya Kamati za Bunge ambako ndiko mambo mengi hufanyika

Kwani tumeshapata Pesa za kulipia Gharama za Kurusha Bunge live? Tena kwanini mtuoneshe Bunge Live wakati wa kazi?

Kuna watu hata Kuwaita waheshimiwa inatia uvivu aisee..
 
Huyu ndumila kuwili!Eti uamuzi wa Bunge live ni wa Bunge na si serikali!Mbona kipindi kile akiwa Waziri yeye ndiye aliyezuia Bunge live Kwa visingizio vya gharama na ni muda wa kazi?

Wanasiasa sio watu wakuamini kabisa,Shwain!
Huyu Nape Ni kibaraka, hypocrite, nunda mla watu. Sheitwani mkubwa Lucifer
 
Waziri wa Habari mh Nape amesema uamuzi wa bunge live ama la ni wa Bunge lenyewe na siyo la Serikali hivyo yeye yuko tayari kushirikiana na Bunge kama watahitaji kuwa live.

Nape amesema tena itapendeza kama Bunge live litaanzia kwenye Kamati za Bunge ambako ndiko maamuzi karibia yote hufanyika.

Nape amesema pale kwenye ukumbi wa Bunge wanakovaa suti na tai ni mbwembwe tu lakini maamuzi huwa yameshafikiwa kwenye vikao vya kamati.

Source: Clouds 360
Kumbe pale ukumbini huwa ni comedy tu. Basi sawa tuanzie huko kwenye kamati za bunge, kwa sababu hawa ni wawakilishi wetu, sasa huwa wanatuwakilisha nini tusichotakiwa kukisikia?

Tanzania sasa tutoke huko gizani, hizi siyo karne za kujadili mambo ya maendeleo ya nchi (maendeleo ya wananchi wenye nchi) gizani.
 
Unaelewa maana ya mbwembwe?

Ni kama alivyokuwa anafanya Tundu Lisu anatoa povu ukumbini kumbe zuga tu kwenye kamati walishapitisha uamuzi!
Lakini mbona hilo unaloita povu wakati mwingine tunaona mambo yanagoma na serikali inarudi kujipanga!
Hii ni sawa na kusema wabunge wanapojadili bajeti wanapoteza muda na kula Kodi zetu Bure badala yake yanayojadiliwa kwenye kamati ndogo ndogo ndio yawe hayo hayo!
 
Huyo ndiye spika
Unajua Kuna kamati ngapi?Spika hawezi kuwa mwenyekiti wa kila kamati!
Hivi Huonagi report za kamati mbalimbali zikiwasilishwa na wenyeviti wao?
Unakumbuka Kuna wabunge wa CCM ambao walikuwa kwenye kamati Moja na Lema walienda kumuona Lema gerezani wakiongozwa na mwenyekiti wao?Unakumbuka Kwa mamlaka ilichukia na kumuondoa nafasi ya uenyekiti huyo mwenyekiti aliyeongoza wenzake?
 
Huyu ndumila kuwili!Eti uamuzi wa Bunge live ni wa Bunge na si serikali!Mbona kipindi kile akiwa Waziri yeye ndiye aliyezuia Bunge live Kwa visingizio vya gharama na ni muda wa kazi?

Wanasiasa sio watu wakuamini kabisa,Shwain!
Jiwe alipelekea hayo yote kutokea
 
Back
Top Bottom