Nape: Ni vema ‘Bunge LIVE’ likaanzia kwenye Vikao vya Kamati za Bunge ambako ndiko mambo mengi hufanyika

Leo kasahau kuwa alisema hivyo.
 
Kama kasema hivyo kalikosea adabu bunge

Kikao ambacho hata waziri mkuu husimama kujibu. Maswali ya papo kwa papo anaita mbwembwe aisee

Kikao ambacho hata raisi huenda kuhutubia bunge anaita mbwembwe mmmm
Unaelewa maana ya mbwembwe?

Ni kama alivyokuwa anafanya Tundu Lisu anatoa povu ukumbini kumbe zuga tu kwenye kamati walishapitisha uamuzi!
 
Huku mbeleni hyu nape anapendezea sana kuwa waziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeanzia pale usahihi ulipoishia. Hatukuanzia pale makosa yalipoishia. Kila la heri
 
Hakuna sababu wala mahitaji ya kurusha live bunge la CCM. Liendelee kufanyika gizani hivohivo.
 
Kwanza bunge lenyewe nani anampango wa kuliangalia?Sawa na timu ya Taifa kuchukua wachezaji toka second division league halafu unasema mashabiki waingie bure.Acha lizuiwe maana hakuna tunachomiss wala tunachogain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…