KERO Nape Nnauye afungia mtandao wa Clubhouse, haupatikani Tanzania bila VPN

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tukiandika nape hajawahi kuwa na akili ya kujitegemea tunashambuliwa
Mkuu tena umebadilisha avatar picha kutoka teddy bear, lisamaki la ajabu na sasa hivi huyo mbabu wa gods must be crazy.
 
Nani? Jwe? Shetani mkbwa akumbukwe na nani, labda nyinyi mashetani wenzake
Kumbuka majiwe magumu aliyoyaacha, hamtoyangoa. Stieglers, SGR, kuhamia Ddm na flyovers, na madaraja. Pia kafanya kitu ambacho Ruto kimemshinda pamoja na tumehuru na Supreme Court tunazoambiwa anazo: Magu aliwanyoosha wasaliti wote, ema wakarudi kundini au wakakimbia nje au wakatulia tuli Zanzibar, wakaufyata. Muone Ruto anavyohangaika na Raila, angekuwa ni Magu angesema hiiiiii bagosha! Ni kweli tulipumua vizuri wakati wake - hakuna maigizo redioni wala matusi barabarani.
 
Rubbish from a rabid mind! Primitive mind!
 
Alitumia fedha zake za mshahara?
 
Alitumia fedha zake za mshahara?
Alitumia fedha zetu kwa niaba yetu, kwa mamlaka aliyopewa kwamba Rais ni mwajiri mkuu wa watumishi wa Umma, mmiliki mkuu wa mali ya umma kwa niaba yetu. Ni Rais wetu, tulimchagua wenyewe.

Of course kuna wasaliti na vibaraka ndani ya Vyama vya siasa wenye mawazo tofauti, kila kwenye Uchaguzi huru wa vyama vingi 1958, 1962, 1965, 1995-2015 vimekuwa vikiweka Ilani zao mbadala kila mwaka lakini wanashindwa.

Safari ya mwisho ni 2020 CHADEMA waliweka Ilani ya Serkali 3 kuruhusu ushoga, Uraiapacha na Serkali ya majimbo wakimnadi ngombea Tundu Antipathy Mugway Masanja Vuyu Lissu. Kura hazikutosha, Ilani ilishindwa na yeye pamoja nayo akaambulia 13%/87%.

Mgombea tundulissu tayari kateuliwa na CHADEMA tena kupeperusha Ilani hiyo hiyo 2025 na ameahidi kutumia lakini kwa masharti kuwa Ilani yao ya 2020 (iliyoshindwa kwa "uchafuzi") lazima ipitishwe kinyemela kwa malidhiano mwaka huu, la sivyo atasusia Uchaguzi 2025 na kufanya vurugu kuzuia Uchaguzi usifanyike kabisa.

Kwa sasa yuko mapumzikoni Belgium akitembea na dereva wake, huku mke na watoto wako Marekani na wa mbowe wakifurahia uraia wa huko.
 
Ulimchagua wewe na ukitaka mfuate alipo
 
Upo zako home, unaunganisha smart tv na Internet ya simu, mara mtu anakupigia inabidi watazamaji wapozi kidogo. Mara unapokea msg umetumia 75% 😂😂
Ndugu yangu piga 0745015421 tukuunganishe unlimited internet, 5G toka Vodacom kwa bei Kitonga huku ukiunganisha Hadi vifaa 256
 
uyu Nape anajisahau sana, hii mitandao anayoiona ni mibaya ndiyo hiyohiyo iliyokuwa sauti ya pekee kumtetea kipindi kile katolewa bunduki njenje. Hivi huwa hawajifunzi kitu hawa?

Huyu Nape hana akili timamu, amekwisha sahau jinsi jasho lilivyomtoka enzi ya Jiwe Wakati alipotembezwa toka ndani ya Ikulu mpaka barabarani!! Alijaribu kuwa CHAWA wa Jiwe lakini akamtolea nje na hakuamini utawala wa Jiwe ulivyofikia tamati na leo anajaribu mambo yale yale ya UCHAWA kwa Samia akidhania utawala huu ni wa milele!!! Learn from history UCHAWA haulipi.
 
Back
Top Bottom