Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

Nape amesahau nini kwa delicious Kheri James? Why now ? Kweli Nape mnafiki
 
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.

Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.

Kazi Iendelee
Atuondolee upuuzi wake na unafiki wake huyo tumo tumbo. Nape amekuwa kama popo tu sasa,siyo ndege wala mnyama.
 
Yaani Nape huyuhuyu...kweli mnafiki hana aibu. Bila shaka tayari amesahau simu zake za usiku wa manane na ile safari yake ya Ikulu kujikomba kwa jiwe akisaka huruma kwa baba...

View attachment 1795750
Hakika ningekuwa Nape, ningefikiria mara mbili kabla ya kukurupuka na matamshi ya kinafiki yasiyo na uhalisia wowote...shame on you!
Hapo lazima haja kubwa ilikuwa inagonga chupi, anatetemeka hovyo. Hiyo pua Mwandosya mtupu.
 
Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama.

Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM.

Kazi Iendelee
Nape hana akili.
Anawaona watz ni viazi
 
Ndio maana amejisalimisha kwa Kherry.......hahahaaaa!
Alikuja na hilo shangingi alishukia gateni ili wamsulubu atie akili kwanza,baada ya kubwabwaja sana nakuwasnitch wenzake kwa marehemu ndiyo gari ikaletwa hadi mlangoni. Walimtia dislpini kidogo.
 
Back
Top Bottom