Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Nape Nnauye apewe maua yake kwa kuongea ukweli, kuhusu mbinu Haramu za kushinda uchaguzi. Leo watanzania tunajionea Mbinu Haramu zinazotumika kushinda uchaguzi.
Pamoja na ubaya wake na mapungufu yake. Ila apongezwe kwa kuongea UKWELI.
Pia soma
Pamoja na ubaya wake na mapungufu yake. Ila apongezwe kwa kuongea UKWELI.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani
- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi