Wamefanya uhuni wakurugenzi malamiko tumeshayapeleka tume subirin mtaona kama watafanikiwaNi 9-0
1.Misungwi,
2.Ruangwa,...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefanya uhuni wakurugenzi malamiko tumeshayapeleka tume subirin mtaona kama watafanikiwaNi 9-0
1.Misungwi,
2.Ruangwa,...
Mwanaume kabisa unajisifia mgombea wako kupita bila kupingwa.
Hana tofauti na mwanaume anayejua na kukubali kuwa kipengele hicho kiko kikatiba...
Yule jamaa msomi lakini elimu yake utafikiri ameipata kwa mgangaNilimsikia akisisitiza majimbo yote ya lindi CCM hakiwezi shinda hata jimbo moja, Sasa ajitokeze huko alikojichimbia aseme kumetokea nini? Inashangaza siasa za kilaghai kama za ZZK kuwaaminisha Umma kwamba wako vizuri kumbe utopolo tu!
Oyeee!CCM oyeee
Ukiona chama kinategemea kushinda bila kushindana, ujue hicho chama kimezeeka na kuishiwa ushawishi.
Upuuzi mtupuMsimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi amesema Nape Nauye ni mbunge pekee aliyepitishwa katika jimbo hilo.
Msimamizi huyo amesema wakati wa ukaguzi wanaangalia vitu vingi ikiwemo matumizi sahihi ya herufi. Mfano L badala ya R au N badala ya M mathalani nchale badala ya mshale.
Wagombea waliokatwa walikuwa na haki ya kukata rufaa, amemalizia msimamizi huyo wa uchaguzi.
Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
Mbona aliwapa TAKUKURU fomu za Mathew?Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi amesema Nape Nauye ni mbunge pekee aliyepitishwa katika jimbo hilo.
Msimamizi huyo amesema wakati wa ukaguzi wanaangalia vitu vingi ikiwemo matumizi sahihi ya herufi. Mfano L badala ya R au N badala ya M mathalani nchale badala ya mshale.
Wagombea waliokatwa walikuwa na haki ya kukata rufaa, amemalizia msimamizi huyo wa uchaguzi.
Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
Sasa wa hivi wakiwa wabunge si watashidwa kutunga sheria? Bora wakatwe tu, kwa vile hawajui kuandikaHuu ujinga wa kupitishwa kimagumashi uishe.