Hao maaskari hawana shida wao wanatekeleza walicho ambiwa na wakubwa wao hawawezi kataaTatizo la kua na maaskari vilaza, kwa dikteta uchwara ni jambo jema maana wakiagizwa wanafanya walichoambiwa, ila kwa wananchi ni shida. Ndiyo maana Bashite kawekwa mkono wa kulia wa mtukuftu, hawezi ku-question, yeye anafanya tu.
Alikua anazuiwa asiende kufanya press conferenceDah!
Mimi si mpenzi wa CCM na si shabiki wa Nape ila hicho nilichokiona kwenye hiyo video sijakifurahia...
Hapa alikuwa anaingia viwanja vya Protea Hotel kwa ajili ya kuingia ukumbini kuanza mkutano, ndipo hawa vijana walipomfuata na kumtaka asishuke kwenye gari badala yake aondoke...ila mwishoni alweza kuendelea na mkutano japo kwa mbinde!Dah!
Mimi si mpenzi wa CCM na si shabiki wa Nape ila hicho nilichokiona kwenye hiyo video sijakifurahia.
Kwangu haki ni haki tu.
Ni nini hasa kilipelekea yote hayo?
Kuna anayejua humu anieleweshe zaidi?
Hapa alikuwa anaingia viwanja vya Protea Hotel kwa ajili ya kuingia ukumbini kuanza mkutano, ndipo hawa vijana walipomfuata na kumtaka asishuke kwenye gari badala yake aondoke...ila mwishoni alweza kuendelea na mkutano japo kwa mbinde!
Hao maaskari hawana shida wao wanatekeleza walicho ambiwa na wakubwa wao hawawezi kataa
huku kwetu tunawapiga na mawe mAskari ni binadamu ambao unaweza ukawatuma utakavyo na wakafanya bila kuhoji hata ukiwaambia nendeni mkaue basi watatenda na yakiharibika unawakataa wanabaki wenyewe bado wataogopa kusema walitumwa heeeeee heeee narudia tena Alhamdullilah namshukuru Mungu sikutumbukia kwenye kazi hii na kwenye kizazi chetu hakuna aliekumbwa na balaa hili sijui wanalishwa nini maana baba zima ila linaweza kutumwa na Bashite na likaenda bila kuhoji [emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo askari hapo ukimuuliza kwa nini alikua anatumia nguvu zote hizo hata mwenyewe atashangaa na anaweza kukataa kua sio yeye heee heeee