Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Enzi za awamu ya 5...Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.
Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.
Haapa alivyotolewa bastola, Msanii Harmorapa naye alikuwepo hapo ila alitimua mbiop baada ya Bastola kuonyeshwa.