Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Siku hii ni moja ya siku ambayo haitasahaulika katika historia ya Taifa hili.

Eeh!! Bwanaee!!
Mzee wa goli la mkono hana hamu wamemgeuka. Ila akome nae ndo madhara ya goli la mkono hayo malipo hapa hapa duniani. Bado waliomtolea bastola na wale wa amri kutoka juu wasubiri malipo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashehe wa Zanzibar,Viongozi wa CHADEMA walioko jela ni Majambazi?!!
 
Mzee wa goli la mkono....unaikumbuka hii game!? Mwambie huyo jamaa akutafute na kukuomba msamaha wa wazi kutokana kitendo chake kutumia silaha kukutishia!
 
Back
Top Bottom