Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Ni vitu ambavyo havinitishi kabisa, kama wewe unaamini kila mtu akiona hizo rangi za upinde anaweza akawa shoga basi mashoga wakitangaza rangi zote zilizopo duniani ni zao basi hata wewe unaenda kufirwa muda si mrefu.

Tatizo sio mimi tatizo ni kizazi mkuu, hawa jamaa malengo yao ni kuharibu kizazi. Ila ukishakua Shoga huwezi elewa hayo.
 
Majizi ya CCM na Mashoga yetu ya Tanzania nani hatari?
 
Sheria inatakiwa itungwe dhidi conspiracy theorists kama wewe na wenzako mnaotumia ushoga kulisha jamii matangopori ya kila aina na kuwaondoa kujadili mambo ya msingi.

Chadema nyote mumekuwa mashoga dah!
 
Weweunajadili report ya CAG ili upate nini? Ni maazimio gani utakayoyafikia hapa kwa kukuijadili hiyo ripoti? Waache wabunge ambao tumewachagua watuwakilishe waifanye kazi hiyo kwa vile tunawalipa mishahara kwa hayo majukumu

wewe unajadili ushoga ili ugundue nini? Jambo kama halikuhusu huhitaji hata kuliweka akilini mwako, mnapenda ushoga ndo maana muda wote mnauwaza na mtu hata akifanya madudu akiongelea ushoga tu roho zenu zinatulia.

Leeni watoto wenu sio kazi ya serikali kuzuia ushoga kwa matamko.
 
Back
Top Bottom