uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Kwa mawaziri watanzania tunaowajua,jambo hili linategemea msimamo wa rais wetu atakachoamua.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
amini usiamini,ikatokea rais akawa na msimamo tofauti,mtajionea wenyewe.
Naomba tumuombee rais wetu msimamo wake uwe thabiti kukataa jambo hili.