Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Kwa mawaziri watanzania tunaowajua,jambo hili linategemea msimamo wa rais wetu atakachoamua.
amini usiamini,ikatokea rais akawa na msimamo tofauti,mtajionea wenyewe.
Naomba tumuombee rais wetu msimamo wake uwe thabiti kukataa jambo hili.
 
Wewe mwenzako akifirwa wewe unawashwa na nini?

Kufirana isifanywe jinai wezi na wapigaji wa fedha za kodi ndio wanatakiwa wawe magerezani sio Mashoga.
Nakuombea maisha Ili uje utubu siku moja,

Lakini likutokee jambo lisilo la kawaida ambalo litakukumbusha message nikuandikiayo Ili uje uombe TOBA.

Ndipo utakapojua AKUPAYE PUMZI Bure ndiye aliyeangamiza Sodoma na Gomora Kwa moto.
 
Kumfungulia Sabaya halafu kuwafunga Mashoga kama sio laana ni nini?.
 
Kipi bhana kukurupuka tu na kutaja magenge kwenye mada isiohusiana na genge lolote ushamba unakusumbua dogo janja
Pitia commets kwenye huu uzi utaona wangapi waliomtukana Nape bila sababu ndio utajua wewe ndio umekurupuka
 
Untitled.png
 
Nimemuona Mbunge mmoja Mbumbumbu wa CCM akisema eti Mashoga wetu wahasiwe halafu wachomwe sindano za kifafa ili wafe🤔
 
Kuna wakati saa mbovu, husema Kweli.

Hizo NG'O s zifutwe, kutamka USHOGA hauna nafasi wakati Kuna NG'O zimesajiliwa kueneza USHOGA na usagaji tena Kwa watoto mashuleni,

Hatua Kali zaidi zinahitajika.
Una ushahidi au umesikia tu. Hakuna shirika linalofundisha ushoga Tanzania. Mengine ni kutokuelewa tu jinsi wanavyofanya kazi. Mfano. Wengi wanatoa elimu ya uzazi na kujitambua
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Sawa tunashukuru kwa tamko hili,ila tungependa litoke kwa Rais,it would send a much stronger message.Kwa nini Rais Yuko kimya?

Hata hivyo kama hii ni kweli,tunataka sheria yetu itumike kuwa indict mabasha,mashoga na lesbians wote.As it now stands,ni kama hatuna sheria yeyote kwa ajili ya jambo hilo.The LBGTQ community wanafanya wanavyotaka,ni kama hakuna sheria vile.
 
Sheria inatakiwa itungwe dhidi conspiracy theorists kama wewe na wenzako mnaotumia ushoga kulisha jamii matangopori ya kila aina na kuwaondoa kujadili mambo ya msingi.
Sawa tunashukuru kwa tamko hili,ila tungependa litoke kwa Rais,it would send a much stronger message.

Hata hivyo kama hii ni kweli,tunataka sheria yetu itumike kuwa indict mabasha,mashoga na lesbians wote.As it now stands,ni kama hatuna sheria yeyote kwa ajili ya jambo hilo.The LBGTQ community wanafanya wanavyotaka,ni kama hakuna sheria vile.
 
Una ushahidi au umesikia tu. Hakuna shirika linalofundisha ushoga Tanzania. Mengine ni kutokuelewa tu jinsi wanavyofanya kazi. Mfano. Wengi wanatoa elimu ya uzazi na kujitambua
Wajinga ni wengi katika nchi.

Unakuta shirika linafanya kazi ya kupambana na UKIMWI kwenye makundi hatarishi ikiwemo mashoga, lakini mwakiembe anaibuka anasema shirika LINAFUNDISHA USHOGA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tena ushoga unafundishwa kupitia pafyumu [emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ushoga na usagaji are not petty issues man! They are meant to destroy our society and the future of our beloved nation. Vilaaniwe na vipingwe kwa nguvu zote kutoka katika kila kona ya taifa letu na ulimwengu mzima.

Mbuyu ulianza kama mchicha. Wanaopiga kelele si wajinga wote. Kunajambo wameliona. Kama kwenu hawapo mshukuru Mungu na uombe sana balaa hilo lisiwakute.
Hiyo ya ushoga siyo petty issue, labda wewe una petty brain ndiyo maana umeshindwa kuelewa

Mnachotwa akili kiboya sana, sahizi mtu yeyote akiongelea ushoga tu anakua shujaa wenu.

Percentage-wise ushoga ni non-existent TZ. Chances are nyie hamumjui shoga yeyote in your circle, ukitoa mashoga wachache wa mitandaoni watu wengi hawamjui shoga yeyote personally. Kujadili watu wawili watatu wakati kuna ripoti ya CAG na mambo mengine ya msingi yanayogusa kila mtu ni matumizi mabaya ya rasilimali akili.

Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level sio kwa matamko ya serikali. Msipolea watoto wenu vyema. watapopolewa.
 
Kujadili watu wawili watatu wakati kuna ripoti ya CAG na mambo mengine ya msingi yanayogusa kila mtu ni matumizi mabaya ya rasilimali akili.

Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level sio kwa matamko ya serikali. Msipolea watoto wenu vyema. watapopolewa.
Weweunajadili report ya CAG ili upate nini? Ni maazimio gani utakayoyafikia hapa kwa kukuijadili hiyo ripoti? Waache wabunge ambao tumewachagua watuwakilishe waifanye kazi hiyo kwa vile tunawalipa mishahara kwa hayo majukumu
 
Back
Top Bottom