Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Ufisadi wanaofanya wenyewe si laana, au ushoga ndo imekuwa kiki inayobamba kutuliza yale madudu yaliyoibuliwa na CAG, vipi ile ibada ya mwenge yenyewe imebarikiwa na Mungu?
Nchi ngumu sana hii yani Kuna mabilioni yameliwa na baadhi ni kutoka kwenye tozo za walalahoi halafu wanakuja na kelele za ushoga ambao hata dhamira ya kuuzuia sioni isipokuwa kelele
 
Sukuma Gang watamponda

Sheria ipo wazi kuwa Tanzania haituruhusu hayo mambo, wala hakuna chochote kilichobadilika ila utasikia mijitu iliyokosa kazi ikidai serikali inaruhusu ushoga
Asante kwa taarifa kiongozi.
 
Wakati juzi juzi tu Nape kahojiwa kw podcast fulani na mtu fulani hahahah....mlango ushafunguliwa dear zamani sana pitisheni kila sheria hadi kifo bado wapo
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Katika mambo naishangaa serikali ni jinsi wanavotaka kudeal na masuala ya ushoga na tabia nyingine sawa na hizo!
Binafsi niseme kuwa wanasaidia sana kuzifanya hizo tabia zishamiri na watu wengi watake kujua mbivu na mbichi!
Kwanza washachelewa! Sheria si zipo wazi kuanzia zile za Kikoloni kusimamia masuala ya jinsia moja, wamezisimia vipi?

Zaidi wakitaka ushoga usindelee kwa hii kasi inayoonekana huko mitaani wafanye yafuatayo:
1. Wapige marufuku utitiri wa burudani na nyimbo za nusu uchi mtaani na kwenye tv stations.
2. Wapige marufuku ndoa za utotoni (wale watoto wa miaka 13, 14 n.k wanafanyiwa mambo mengi ya ovyo wakiyazoea wanawaambukiza wengine)
3. Wondoe shule za jinsia moja. Shule zote ziwe mixed school.
4. Wasiongee kisiasa kwenye masuala ya kijamii yanayohitaji tafiti za kisayansi!

Mwisho: wasituzuge kwa kelele za ushoga huku wanatuibia MABILIONI
 
Habari za ushoga zimevuma na kushika kasi sana kama habari za mfalme Zumaridi kwa sababu ya social media. Sasa hivi kila mtu ana ka online TV chake basi ni fujo tupu.
Ushoga tz sio tatizo Mie nabaki nimebutwa wapinga ushoga wamekuwa wengi mara milioni ya idadi ya mashoga. Mie sipo dar, mara kadhaa nipo kahama, mbogwe, bushirombo na geita mjini lkn sijawahi kukutana na shoga na hata watu wangu wa karibu sehemu hizo nimejaribu kuwaomba wanioneshe shoga hata mmoja wanayemfahamu, cha ajabu wote hawamjui hata mmoja, sasa kama wilaya zote hizo nne hazina hata shoga mmoja kwanini ushoga uonekane kama ni tishio kama ebola vile?
 
Wapo wanadamu raia wa nchi ambao hawamuamini Mungu au mungu wao ni tofauti na mungu wako.
Nchi hii Tumepewa WANADAMU na Mungu tuitawale.

UHURU wa kumfundisha na kumkosoa Mungu uumbaji ni DEMON CRASIE au UHURU wa kipepo.

Tunataka Serikali iwahukumu wasagaji,wafiraji na mashoga kama wanavyohukumiwa majambazi, wauaji nk nk.

Kwa kuanzia nashauri ADHABU ya viboko itangulie ADHABU za kijinai, wakicharazwa sawasawa wengine wataacha mara moja.

Tukifika hapo, MAPEPO yaliyowapagaa yatawatoka yarudi kiringeni kuungana na wachawi huko gizani, nasi watumishi huko huko gizani tutaendelea kuripua KAZI zao.
 
Waponze wenzako, lakini ujipange kuwapelekea uji segerea maisha yao yote.
Cha kufanya kama kitaa kwako kuna shoga tia moto tu koz tukiyaachaa yatakuja kutuharibia hata matoto yetu kiume
 
Back
Top Bottom