Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Kwa hiyo Magufuli alikuwa akishiriki mapenzi ya jinsia moja?

..aliwaachia huru Babu Seya na Papii ambao walilawiti watoto wadogo.

..pia aliwapa heshima ya kuwapokea Ikulu.

..kiongozi anayetenda hivyo unaweza kumuamini kwamba anapinga ulawiti wa watoto wetu?

..wewe binafsi unaweza kukaribisha walawiti nyumbani kwako ukanywa nao chai?
 
Yes, it is indeed petty. There are more pressing issues mambo yanagusa kila mtu badala ya kujadili maamuzi ya watu wachache wafanyayo faragha. Wizara yake ina madudu kibao ila anatafuta public sympathy kwa kuwachota akili na mambo ya hovyo.
Utajadiliwa tu mpaka uache au ufe!
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Viongozi wote madikite wa ki Africa wanakimbilia kujificha kwenye ushoga , Ili wafiche maovu Yao,
Kinachofanyika kwenye wizara yake ni kibaya zaidi kulicho anachokisema
 
Nadhani wangeanzia mule mule bungeni, inawezekana kabisa Kuna wanawake wasagaji mle ndani. Au hii kitu haiwahusu wasagaji inawahusu mashoga tu?

Tuanzie bungeni. Kila mbunge atuonyeshe mwenza wake na michepuko yake yote.
Mbona mabasha hamuwasemi, au Basha ni shoga pia
 
Kamuulize wewe kisha ulete majibu, acha kuropoka
Mwana wa Uasi,

Huna mamlaka ya kuniamulia niandike nini!!!!

USHOGA unaenezwa Kwa Siri, sisi tunaukemea wazi na UOVU huo utarudi GIZANI ulikoanzia.
 
Mwana wa Uasi,

Huna mamlaka ya kuniamulia niandike nini!!!!

USHOGA unaenezwa Kwa Siri, sisi tunaukemea wazi na UOVU huo utarudi GIZANI ulikoanzia.
Wakeemeni mabasha pia
 
Sukuma Gang watamponda

Sheria ipo wazi kuwa Tanzania haituruhusu hayo mambo, wala hakuna chochote kilichobadilika ila utasikia mijitu iliyokosa kazi ikidai serikali inaruhusu ushoga
Acha chuki na wenye mapenzi na mfu yoyote anaesema kuhusu ushoga uwepo huyo sio wa kumchekea ni adui kwetu awe sukuma au samia gang
 
Kumfunga Shoga ni sawa na kumpiga teke chula, kama hutaki afirwe uraiani basi anaenda kufirwa Gerezani.

Ni bora Katiba mpya ijayo iwape uhuru na haki zao hawa wana Sodoma jazz.
Naona unapambania uhuru wako mshika kibendera tajiri wa rangi
 
Mwana wa Uasi,

Huna mamlaka ya kuniamulia niandike nini!!!!

USHOGA unaenezwa Kwa Siri, sisi tunaukemea wazi na UOVU huo utarudi GIZANI ulikoanzia.
Nimemuasi mamaako au nani?

Sijakupangia cha kusema, unaposema kuna NGO inalea ushoga kisha nakuuliza uitaje hiyo NGO unajibu nikamuulize Mwakyembe ni kuropoka
 
Back
Top Bottom