Sheria ipo toka enzi za mwingeleza 1939 ikipinga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ikarekebishwa mwaka 1959 kuongeza vipengele vikali zaidi, na sisi tukaishindilia ukali zaidi mwaka 1998.
Sasa kama sheria ipo, mbona hawa mashoga wamekuwa wakizururaa mitaani waziwazi kwa nini hatua za kisheria hazichukuliwi juu yao? Kama sheria ipo na ilitungwa na hawa hawa mzungu Je kwa nini sisi tunashindwa kuitumia kuwabana?
Makonda alijaribu kidogo ikagonga mwamba, tukasikia Waziri mmoja nasema hayo mambo ya kuwakamata ni yake binafsi ya si ya Serikali ya JMT, sasa sisi tueleweje nini hapo? - hapo kwenye ushoga kuna nini hapa ?