Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Ushoga sio poa, lakini HAKI za Mashoga kuishi kama Binadamu wenzetu ni sahihi.

Huwezi ukamfunga Shoga au kumuua Shoga kwa yeye kuwa Shoga.
 
Ushoga ni petty issue ama kweli dunia imeisha
MApenzi ya jinsia moja ni petty issue?
Ht unavyoonekana nahc so riziki, pafyumu na kupenda kitonga vimekumaliza shiiiit

Yes, it is indeed petty. There are more pressing issues mambo yanagusa kila mtu badala ya kujadili maamuzi ya watu wachache wafanyayo faragha. Wizara yake ina madudu kibao ila anatafuta public sympathy kwa kuwachota akili na mambo ya hovyo.
 
Kuna wakati saa mbovu, husema Kweli.

Hizo NG'O s zifutwe, kutamka USHOGA hauna nafasi wakati Kuna NG'O zimesajiliwa kueneza USHOGA na usagaji tena Kwa watoto mashuleni,

Hatua Kali zaidi zinahitajika.

Taja hizo NGO mbili tu?
 
Point yako nimeielewa mkuu
 
Kuna wakati saa mbovu, husema Kweli.

Hizo NG'O s zifutwe, kutamka USHOGA hauna nafasi wakati Kuna NG'O zimesajiliwa kueneza USHOGA na usagaji tena Kwa watoto mashuleni,

Hatua Kali zaidi zinahitajika.
NGO ipi ?
 
Huu ushoga upo huko kwenu mijini Ila huku Bush labda uulete wew
Ushoga tz sio tatizo Mie nabaki nimebutwa wapinga ushoga wamekuwa wengi mara milioni ya idadi ya mashoga. Mie sipo dar, mara kadhaa nipo kahama, mbogwe, bushirombo na geita mjini lkn sijawahi kukutana na shoga na hata watu wangu wa karibu sehemu hizo nimejaribu kuwaomba wanioneshe shoga hata mmoja wanayemfahamu, cha ajabu wote hawamjui hata mmoja, sasa kama wilaya zote hizo nne hazina hata shoga mmoja kwanini ushoga uonekane kama ni tishio kama ebola vile?
 
Wanaosema samaki mkunje angali mbichi,so tusipokemea kipind hichi ushoga bado ni mchanga ukija kukomaa hakuna atakaeweza kuuzuia na hapo ndipo hata wanetu watakapokumbwa na mtihani huo
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Nape na CCM mmetuona sisi ni wadhifu mnajitahidi kututoa kwenye mada ya sasa inayohusu wizi wa fedha zetu, ushoga umekuwepo tangu wewe ukiwa haujazaliwa kwanini baada ya taarifa ya CAG viongozi wote wa CCM ushoga mmeufanya ajenda kuu, wizi wa fedha ndio ajenda kuu na msigwae kuchukua hatua ila sidhani kama nanyi hammo.
TRENI IRUDI KWENYE RELI.
 
Back
Top Bottom