Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

Usichokijua nikwamba CCM ili wawepo madarakani hawategemei kura ..... weka hiyo akilini ..... hizo kampeni ni danganya toto
 
Wezi wale? Alietutisha ni JPM tu sio hao kenge.
Kumbe huna unalolielewa, rudi kwenu ukale shawarama ujambe ulale.

Hiyo combination ilifanya kazi kabla ya Magufuli kuchaguliwa kwa mara ya kwanza, bila hao Magufuli asingeinusa Ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…