zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Sisi kanda ya ziwa tunapenda kuwaambia CCM kwamba wasimpomtoa mama muuza 2025 wahesabu maumivu.
Sema wew unaposema sisi unatupangia kura zetu tumpe nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi kanda ya ziwa tunapenda kuwaambia CCM kwamba wasimpomtoa mama muuza 2025 wahesabu maumivu.
Nimeuziwa bandari zote, hamjasoma mkataba? Nilienda kuangalia bandari zangu.Kanda ya ulienda kufanya nini inamaana na Burigi unaitaka
Mimi ni Boss la DP World niliye nunua bandari zenu.Kama wewe ni chadema basi sahau hiyo 2025. Kanda ya ziwa sio wajinga wakipigie kura chama chenu cha uchagani
...FALSAFA Sio SALFASA....Umakini Unatakiwa...! [emoji846]Yuko mwana salfasa mmoja Kasema uchaguzi ni MATANGAZO sio kuraa.
Na wewe umekoma hedhi!?Kama wewe ni chadema basi sahau hiyo 2025. Kanda ya ziwa sio wajinga wakipigie kura chama chenu cha uchagani
Usichokijua nikwamba CCM ili wawepo madarakani hawategemei kura ..... weka hiyo akilini ..... hizo kampeni ni danganya totoWiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.
Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha mtoto wao. Sijui ni kwanini hisia zinawapeleka huko ila kwa kifupi hili jambo litachukua muda sana kuondoka akilini mwao.
Mwananzengo 1 akasema akiona 1 kati ya watajwa basi anamkumbuka mwanaye. CCM angalieni hili, ikiwa mnadhani halina uzito liacheni, ila binafsi naona 2025...
mama'ko vipi? bado anakutuma dukani umnunulie modess au kawacha?Wewe umeshakoma hedhi ila hujielewi
Kumbe huna unalolielewa, rudi kwenu ukale shawarama ujambe ulale.Wezi wale? Alietutisha ni JPM tu sio hao kenge.
Duuuh sawaNimeuziwa bandari zote, hamjasoma mkataba? Nilienda kuangalia bandari zangu.
Ona sasa unachokiongea, hapo bado mnataka urais!Na wewe umekoma hedhi!?
Inahisiwa hivyo kuwa mtoto wao aliuliwa na ipo kwenye nafsi zao